PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Maisha ya ujana

Maisha ya ujana ni kufanya mema au mabaya, kushinda au kushindwa. Uzee ni sherehe au majuto ya ujana.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ushauri kwa mtu

Usimpe mtu ushauri ambao unahisi ataukubali sana, mpe mtu ushauri wenye manufaa kwake japo ni mgumu kuukubali.

Open printable article β†’
πŸ“„

Maneno na matendo

Uwe mzuri kwenye kufanya kama ulivyo kwenye kufikiri. Matendo yako yafanane na maneno na maneno na matendo.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kutokuwa na kitu

Kukosa mtu, kitu au jambo fulani kunasababila Moyo kujenga upendo kwenye mtu, kitu au jambo ulilolikosa.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kinga ya magonjwa na madhara yote

Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuacha jambo au kitu chochote

Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya kitu hicho kidogokidogo kwa wastani. Usijidanganye utafanya kidogo au utaacha kidogo. Acha Kabisa na usifanye tena.

Open printable article β†’
πŸ“„

Vile unavyotoa ndivyo unavyopokea

Vile unavyotoa ndivyo unavyopokea. Yule anayetoa sana ndiye ansyepokea sana. Kutoa ni kuhifadhi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Asiyesikia la mkuu, huvunjka guu

Asiyesikia la mkuu, huvunjka guu: methali hii ina lengo la kuwatahadharisha watoto au vijana wadogo kuheshimu yale wanayoambiwa na wakubwa zao. Sababu kuu ya kufanya hivyo ni kwa sababu watu wazima wanatajiriba ya maisha na hivyo maelekezo yao huwa ni msaada k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Abebwaye, hujikaza

Abebwaye hujikaza: huwakumbusha watu wajibu wa kufanya juhudi za kujisaidia wenyewe pale wanapopewa msaada wa awali. Ikiwa utasaidiwa basi abgalau onesha juhudi za kujiweza pindi msaada utakapofika mwisho

Open printable article β†’
πŸ“„

Akili ni nywele, kila mtu ana zake

Akili ni nywele kila mtu ana zake: hutukumbusha kuwa kila binadamu ana mawazo na mtazamo wake wa kufanya au kuamini mambo hivyo uono hakutafanana na mwingine.

Open printable article β†’
πŸ“„

Aisifiaye mvua, imemnyea

Aisifuye mvua, imemnyea: kila jambo ambalo mtu analizungumzia atakuwa aidha na uzoefu nalo au kwa namna moja ama nyingine analifahamu.

Open printable article β†’