πMambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli. 4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi KwaSiku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa MaraNyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana Uwezo Wa KubadilishaTabia Ya Mβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi kuyajua Ili uishi na watu vizuri
Nimezipenda hizi nasaha. Naamini na nyinyi wenzangu hamtakosa japo machache ya kujifunza:-1. Epuka hasira za ovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhβ¦
Open printable article βπNjia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke
Njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke au Hatua za kufuata kuamsha hisia za mwanamke ni kama ifuatavyo Andaa mazingira Andaa mazingira ya kuamsha hisia zake, fanya kitu kitakachowasogeza karibu na kuamsha hisia zake Kwenye akili yake kabla ya kugusβ¦
Open printable article βπWosia mzuri wa baba kwa mwanae
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yakoβ¦
Open printable article βπMbinu za kumfanya mwanamke akukubali
Njia za kumfanya akukubali ni kama ifuatavyo Uwe na muonekano mzuri Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubaliβ¦
Open printable article βπIshara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda
Ishara hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda, wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti. Mwanamke anayekupenda hatakosa kati ya hizi Siyo kwamba ishara hizi zote anaweza kuwanazo msichana mmoja, ila kila mmoja kwa isβ¦
Open printable article βπUjumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.Hiki ndo kitu ambacho Mwenyekiti wa kikao alichowaambia, aliwatazama kwa muonekano mzuri kisha akawataka wakae, kisha akawaambia jambo ambalo hawatβ¦
Open printable article βπSiri za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora1_ lazima na wewe uwe bora kwanza2_ lazima na wewe ujiheshimu** 3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!4_ ukitaka msomi akikisha na wewe umesoma5_ ukikosa kabisanjoo kwangu nikulambe vibao akili ifunguke ππππ UTβ¦
Open printable article βπNdoa sio utani. Soma stori hii
"Mkeo amefariki. Rudi nyumbani kwako haraka sana" Hezron alimwambia Daniel katika simu."Mke wangu amekufa? Nini kimetokea? Amekufaje?" Daniel aliuliza huku akionekana kuchanganyikiwa vibaya."Daktari amesema ni shinikizo la moyo lililosababishwa na stress kali.β¦
Open printable article βπKuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.Jitu Mmeachana Miezi 6,Leo Linakutesti Lirudishe Majeshi,Na Wewe Ulivyo Kiazβ¦
Open printable article βπJinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kweli kwa dhati
Yafuatayo ni maswali ya kujiuliza ili kujua kama mwanamke anakupenda kweli. Anajitoa kwa ajili yako? Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhanga kwa ajili yako. Mwanamke anayekupenda atakua tayari kufanya chochote kile kwa ajili yako kitu ambacho haweβ¦
Open printable article βπMahaba kwa wanawake wa siku hizi
Wanawake wengi siku hizi hawajui au hawataki kuonesha mahabaNimefanya kautafiti kangu kadogo nimegundua wanawake wengi siku hizi hawaonyeshi mahaba yani kwa ujumla hawako "Romantic". Wanawake wengi siku hizi akipata mwanaume anaona amepata mtu wa kumsaidia shiβ¦
Open printable article βπJinsi ya kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake. Mfanye akukubali Njia za kumfanya akukubali ni kama ifuatavyo Uwe na muonekano mzuri Wanaβ¦
Open printable article βπMambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2.β¦
Open printable article βπDalili za mwanamke anayeelekea kukukubali baada ya kurusha voko a.k.a kutongoza
Dalili ni hizi; Anaongeza ukaribu Ukiona anapenda kuwa karbu na wewe na kuandamana na wewe na anajisikia ufahari kuwa na wewe jua anaelekea kukukubali. Ukiona anajishauri ujue labda anaona hamlingani kuwa pamoja. Anaanza kukuchunguza Ukiona haachi kukuuliza maβ¦
Open printable article β