PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mapishi ya Bagia dengu

MahitajiUnga wa dengu (gram flour 1/4 kilo)Kitunguu kilichokatwa (onion 2)Hoho (green pepper 1/2)Pilipili iliokatwakatwa (scotch bonnet pepper 1/2)Barking powder (1/4 ya kijiko cha chai)Chumvi (salt)Kitunguu swaum (garlic cloves 2)Mafuta ya kukaangia (vegetabl…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mandazi Matamu

MahitajiUnga wa ngano (nusu kilo)Sukari (Kikombe 1 cha chai)Chumvi (nusu kijiko cha chai)Hamira (kijiko kimoja cha chai)Yai (1)Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula)Butter (kijiko 1 cha chakula)Hiliki (kijiko1 cha chai)Maji ya uvuguvugu ya kukandiaMafuta ya kuc…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Kachori

MahitajiViazi mbatata (potato 4 vya wastani)Nyama ya kusaga (mince beef 1 kikombe cha chai)Kitunguu (onion 1 cha wastani)Carrot 1Hoho (green pepper 1/2)Kitunguu swaum (garlic)Tangawizi (ginger )Binzari nyembamba (ground cumin 1/2 kijiko cha chai)Binzari manjan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya bagia na chatney ya machicha ya nazi

MahitajiKunde (Ila mimi nilitumia Nigerian brown beans 1/2 kilo)Vitunguu maji (onion 2)Pilipili (scotch bonnet pepper 2)Vitunguu swaum (garlic 4 cloves)Chumvi (salt)Barking powder (1/2 kijiko cha chai)Machicha ya nazi (grated coconut 1 kikombe cha chai)Limao (…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chapati za maji za vitunguu

MahitajiUnga wa ngano (plain flour) 1/4Kitunguu kikubwa (chopped/slice onion) 1Yai (egg) 1Chumvi (salt)Mafuta (cooking oil)MatayarishoTia unga, chumvi na maji kiasi katika bakuli kisha koroga mpaka madonge yote yaondoke. Baada ya hapo tia yai na vitunguu kisha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Sambusa za nyama

MahitajiNyama ya kusaga (minced beef 1/4 kilo)Vitunguu maji vilivyokatwakatwa(diced onion 2 vikubwa )Kitunguu swaum/ tangawizi (garlic and ginger paste 1 kijiko cha chakula)Chumvi (salt)Pilipili iliyokatwakatwa (scotch bonnet 1)Limao (lemon 1/2)Curry powder 1/…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mandazi ya nazi

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) vikombe 2 na1/2Sukari (sugar) 1/2 kikombeHamira (yeast) 1/2 kijiko cha chaiHiliki (cardamon powder) 1/4 kijiko cha chaiTui la nazi (coconut milk) kiasiBaking powder 1/4 kijiko cha chaiSiagi (butter)1 kijiko cha chakulaM…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Half cake (Keki)

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2Sukari (sugar) 1/4 kikombeBarking powder 1/2 kijiko cha chaiMagadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chaiMafuta 2 vijiko vya chaiMafuta ya kukaangiaMaji ya uvuguvugu kiasiMatayarishoChanganya unga na v…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mkate

MahitajiUnga wa ngano ( self risen flour) kikombe 1 na 1/2Hamira (yeast) 1 kijiko cha chaiSukari (sugar) 1 kijiko cha chakulaChumvi (salt) 1/2 kijiko cha chaiSiagi iliyoyeyushwa (melted butter) 1 kijiko cha chakulaMaji ya uvuguvugu ( warm water) kiasiMatayaris…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya Kupika skonzi

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)Sukari (sugar 1/2 kijiko cha chakula)Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)Hamira (yeast 1/2 kijiko cha chakula)Baking powder 1/2 kijiko cha chaiSiagi (butter 1/4 ya kikombe cha chai)Maziwa (fresh milk 3/4 …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu

MahitajiUnga wa ngano (plain flour 1/2 of kilo)Siagi (butter vijiko 2 vya chakula)Yai (egg 1)Chumvi (1/2 ya kijiko cha chai)Hiliki (ground cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)Maji ya uvuguvugu (warm water)Mafuta (vegetable oil)MatayarishoWeka unga wa ngano katika …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mkate wa sinia

MahitajiUnga wa mchele (rice flour 2 vikombe vya chai)Sukari (sugar 3/4 ya kikombe cha chai)Hamira (dried yeast 3/4 kijiko cha chakula)Hiliki (cardamon powder 1/2 kijiko cha chai)Ute wa yai 1(egg white)Tui la nazi (coconut milk kikombe 1 na 1/2 cha chai)Mafuta…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai

MahitajiMandazi (angalia jinsi ya kupika katika recipe ya mandazi ya nyuma)Uyoga (mashroom kikombe 1 cha chai)Mayai (eggs 4)Hoho (greenpepper 1/4 ya hoho)Nyanya (fresh tomato 1)Kitunguu (onion 1/4 ya kitunguu)Chumvi (salt)Mafuta (vegetable oil)Hiliki nzima (ca…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Chicken Satay

MahitajiKidali cha kuku 1 (chicken breast)Kitunguu maji 1/2 (onion)Kitunguu swaum/tangawizi (garlic and ginger paste) 1 kijiko cha chaiLimao ( lemon)1/4 kijiko cha chaiCurry powder 1/4 kijiko cha chaiPilipili ya unga kidogo (Chilli powder)Coriander powder 1/4 …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi mazuri ya Chapati za maji

MahitajiUnga wa ngano (plain flour) ( 1/4 kilo)Yai (egg 1)Sukari (sugar 1/4 kikombe cha chai)Chumvi (salt 1/4 kijiko cha chai)Hiliki (ground cardamon 1/4 kijiko cha chai)Maji kiasiMafuta (vegetable oil)MatayarishoTia unga kwenye bakuli, kisha weka sukari, chum…

Open printable article β†’