📄JINSI YA KUANDAA VILEJA
MAHITAJIUnga wa mchele - 500gSamli - 250gSukari - 250gHiliki iliyosagwa - 1/2 kijiko cha chaiArki (rose flavour) - 1/2 kijiko cha chaiBaking powder - 1 kijiko cha chaiMayai - 4Maji ya baridi - 1/2 kikombe cha chaiMAANDALIZISaga sukari iwe laini kiasi, changany…
Open printable article →📄Jinsi ya kupika Baklawa Za Pistachio Na Lozi
VIAMBAUPISHIPhilo (thin pastry) manda nyembamba - 1 paketiSiagi - ¼ Kikombe cha chaiBaking powder - 2 Vijiko vya chaiPistachio/ lozi - 2 vikombe vya chaiMafuta - ½ KikombeVIAMBAUPISHI VYA SHIRASukari - 2 Vikombe vya chaiMaji - 2 ½ Vikombe vya chaindimu - ½ kij…
Open printable article →📄Jinsi ya kutengeneza biskuti za Matunda Makavu Na Cornflakes
VIAMBAUPISHIUnga - 4 VikombeSukari - 1 KikombeBaking powder 1 kijiko cha chai mfutoSiagi - 454 gmsMayai - 2Matunda makavu (tende, zabibu, lozi) - 1 KikombeVanilla - 2 Vijiko vya chaiCornflakes - ½ kikombeJINSI YA KUANDAAChanganya sukari na siagi katika mashine…
Open printable article →📄Jinsi ya kupika Biskuti Nyembamba (Wafer Bar) Za Chokoleti Na Njugu
MAHITAJIWafer Powder/gram wafer (unga wa biskuti uliosagwa wa tayari) - vikombe 2Maziwa ya Mgando Matamu ya Kopo - 2 vikombeNazi iliyokunwa - ½ KikombeChokoleti vipande vipande - 1 KikombeNjugu vipande vipande - ½ KikombeSiagi - 227 gMAPISHIYeyusha siagi moton…
Open printable article →📄Mapishi ya Biskuti Za Mayai
VIAMBAUPISHIUnga 3 VikombeSukari ya unga (icing sugar) 1 KikombeSiagi 250 gmMayai 3Vanilla 2 Vijiko vya chaiBaking powder 1 Kijiko cha chaiJINSI YA KUPIKAKoroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).Tia mayai na vanilla k…
Open printable article →📄Mapishi ya Biskuti Za Kastadi
VIAMBAUPISHIUnga 6 VikombeSukari ya kusaga 2 vikombeSiagi 500 gmBaking powder 1 Kijiko cha chaiKastadi ½kikombeMAPISHIKoroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).Mimina mchanganyiko uliopiga kwa mashine kwenye bakuli.Tia…
Open printable article →📄Mapishi ya Biskuti Za Jam
VIAMBAUPISHIUnga 2 ½ gilasiSukari ¾ gilasiSamli 1 gilasiMayai 2Baking powder 2 kijiko vya chaiVanilla 1 ½ kijiko cha chaiMaganda ya chungwa 1MAPISHITia kwenye machine ya kusagia (blender) mayai, sukari, vanilla, samli na maganda ya chungwa, saga vizuri.Tia ung…
Open printable article →📄Mapishi ya visheti vitamu
VIAMBAUPISHIUnga - Vikombe 2Samli au shortening ya mboga - 2 Vijiko vya supuMaziwa ¾ KikombeIliki - KiasiMafuta ya kukarangia KiasiVIAMBAUPISHI :SHIRASukari - 1 KikombeMaji ¾ KikombeVanila ½ Kijiko cha chaiZafarani (ukipenda) - KiasiJINSI YA KUPIKAKatika kisuf…
Open printable article →📄Mapishi ya Mitai
VIAMBAUPISHIUnga wa ngano - magi 2 (vikombe vikubwa)Hamira kijiko 1 cha chaiSukari Vijiko 2 vya supuMaziwa ¾ MagiSiagi Vijiko 2 vya supuMafuta ya kukaangia kiasiVIAMBAUPISHI:SHIRASukari ¾ KikombeMaji ¾ KikombeIlliki ya unga kiasiZafarani kiasiJINSI YA KUPIKAKa…
Open printable article →📄Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Ufuta Na Jam
VIAMBAUPISHIUnga vikombe 2Sukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta kisiaVanilla 1 kijiko cha chaiMAPISHITia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.Tia baking powde…
Open printable article →📄Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende Na Ufuta
MAHITAJIUnga - 3 Vikombe vya chaiBaking powder - 1 ½ Vijiko vya chaiSukari - 1 Kikombe cha chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiMayai - 2Maji - kiasi ya kuchanganyiaTende - 1 Kikombeufuta - ¼kikombeMAPISHIChanganya unga, siagi, baking powder, na sukari katika bakuliT…
Open printable article →📄Jinsi ya kutengeneza Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau
VIAMBAUPISHIUnga - 4 Vikombe vya chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiHiliki ½ Kijiko cha chaiVIAMBAUPISHI:SHIRASukari - 2 Vikombe vya chaiMaji - 1 Kikombe cha chaiVanilla ½ Kijiko cha chai(cocoa ukipenda kugawa visheti aina mbili) 2 Vijiko vya chai.JINSI YA KUTENGEN…
Open printable article →📄Jinsi ya kupika Eggchop
MahitajiMayai yaliochemshwa 4Nyama ya kusaga robo kiloKitunguu swaumTangawiziLimaoChumviPilipiliBreadcrambsCarry powderBinzari nyembamba ya ungaYai moja bichiMafutaMatayarishoMarinate nyama na pilipili, kitunguu swaum, tangawizi, limao, chumvi, carry powder, b…
Open printable article →📄Mapishi ya Viazi vitamu na kachumbari
MahitajiViazi utamu 3Nyanya 2 kubwaKitunguuTangoLimaoChumviPilipiliMafuta (vegetable oil)MatayarishoMenya viazi na kisha vikate katika vipande. Tia mafuta kwenye chuma cha kukaangia, yakisha pata moto tia viazi nauviache vikaangike mpaka upande mmoja uwe wa br…
Open printable article →📄Jinsi ya kupika Mitai
VIAMBAUPISHIUnga wa ngano 1 1/2 KikombeBaking powder 1 Kijiko cha chaiBaking soda ¼ Kijiko cha chaiChumvi ½ kijiko cha chaiSukari 1 kijiko cha supuHamira 1/2 Kijiko cha supuYai 1Maziwa ½ KikombeMafuta ya kukaangiaVIAMBAUPISHI:SHIRASukari 1 KikombeMaji ½ Kikomb…
Open printable article →