πMapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya
MahitajiMchele - 1 kiloKuku - 1Vitunguu - 3Viazi/mbatata - 5Jira/bizari ya pilau nzima - 3 vijiko vya supuMdalasini - 1 kijitiPilipili manga - 1 kijiko cha supuHiliki - 3 chembeKarafuu - 5 chembeKitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 3 vijiko vya supuTangawizβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Nyama Mbuzi Ilichomwa Ya Sosi Ya Ukwaju
Vipimo Vya WaliMchele Basmati - 4 vikombeVitunguu vya majani (Spring onions) - 5 michePilipili mboga nyekundu (capsicum) - 1Pilipili mboga manjano (capscimu) - 1Nyanya kubwa - 1Supu ya kidonge - 2Siagi - 2 vijiko vya supuChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na Kβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ngβombe
MahitajiNdizi - 15 takriibanNayma ya ngβombe - 1 kiloKitunguu maji - 1Nyanya - 3Kitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi ilopondwa - 2Jira/cummin/bizari ya pilau ilosagwa - 1 kijiko cβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Karoti Na Kuku Wa Kukaanga
Vipimo Vya WaliMchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo mojaVitunguu maji - 3Karoti - 2Siagi - 3 vijiko vya supuKidonge cha supu (stock) - 1 kimojaChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaΓsha mchele uroweke kama saa moja au mbiliKatakata vitunguu vipande vidogodβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba
MahitajiMchele - 2 vikombeAdesi -1 Β½ vikombeNazi ya unga - 1 KikombeMaji (inategemea mchele) - 3Chumvi - KiasiVipimo Vya Bamia:Bamia - Β½ kiloVitunguu maji - 2 vya kiasiNyanya iliyosagwa - 1 kubwaNyanya ya kopo - 2 vijiko vya chaiPilipili manga - Β½ kijiko cha cβ¦
Open printable article βπMapishi ya Borhowa
MahitajiDaal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwaBizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chaiPili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chaiChumvi - KiasiMaji ya ndimu - 3 Vijiko vya supuKitunguu - 1 kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chβ¦
Open printable article βπMapishi ya wali kuku wa Kisomali
Mahitaji ya waliMchele - 3 vikombeVitunguu (viliokatwa vidogo vidogo) - 2Mafuta - 3 vijiko vya supuKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 kijiko cha chaiBizari ya pilau - 1 kijiko cha supuMdalasini - 1 kijitiHiliki - 3 chembePilipili manga nziβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE)
MahitajiMchele wa basmati - 4 cupsSamaki nguru (king fish) - 7 vipande au zaidiKitunguu - 5Nyanya/tungule - 3Njegere - 1 kikombeSnuwbar (njugu za pine) - 1 kikombeViazi - 2 kata kata mapande makubwaTangawizi mbichi - 1 kijiko cha supuKitunguu saumu - 1 kijiko β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko
MahitajiMchele - 2 MugsViazi - 3Nyama ya Kusaga - 1 PoundMboga mchanganyiko za barafu - 1 Mug(Frozen vegetable)Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 2 vijiko vya supuGaram masala - 1 kijiko cha supuNyanya - 1Kitungu maji - 1Mdalasini nzima - 1 vijitiKarafβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Tambi Na Kuku Wa Sosi Ya Mtindi
Vipimo Vya WaliMchele - 3 vikombeTambi - 2 vikombeMafuta - ΒΌ kikombeChumviVipimo Vya KukuKuku kidari (boneless) aliyekatwa katwa vipande - 1 KiloKitunguu maji kilichokatwa katwa - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuPilipiliβ¦
Open printable article βπMapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)
MahitajiMchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombeKukuVitunguu - 3Nyanya/Tungule - 2Tangawizi mbichi ilosagwa - 2 vijiko vya supuKitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi nzima - 3Ndimu - 2Garama Masala/bizari mchanganyiko - 1 kijikoβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Wali Wa Hudhurungi Na Kabeji
VIPIMO VYA WALIMchele wa hudhurungi (brown rice)na (wild rice kidogo ukipenda)Osha na Roweka - 2 VikombeKitungu maji - 1 KiasiKitunguu saumu - 1 Kijiko cha supuBizari ya manjano - 1/2 Kijiko cha chaiMdalasini nzima - 1 kijitiIliki iliyosagwa - 1/4 Kijiko cha cβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe
Viambaupishi Vya MasalaNyama vipande - 3 LBMtindi - Β½ kopoKitunguu (thomu/galic) - 1Β½ kijiko cha supuTangawizi - 1Β½ kijiko cha supuNyanya - 2Pilipili mbichi - kiasiNyanya kopo - 4 vijiko vya supuVidonge supu - 2Pilipili nyekundu paprika - kiasiBizari zote sagaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku
MAHITAJIMchele wa pishori (basmati) - 4Nyama ya kuku bila mafupa - 1 LbKamba saizi kubwa - 1LbMchanganyiko wa mboga - njegere, karoti,mahindi, maharage ya kijani (spring beans) - 2 vikombeFigili mwitu (Cellery) - 2 mcheVitunguu vya majani (spring onions) - 4-5β¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Bilingani Na Kuku
ViambaupishiMchele wa basmati - 3 vikombeKuku - Β½Bilingani - 2 ya kiasiViazi - 4Vitunguu - 2Kitunguu (thomu/galic) iliyosagwa - 2 vijiko vya supuPilipili mbichi iliyosagwa - 2Chumvi - kiasiGarama masala (mchanganyiko wa bizari) - 1 kijiko cha chaiHiliki ya ungβ¦
Open printable article β