πJinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake)
VIAMBAUPISHIUnga - 2 Magi (vikombe vya chai)Sukari iliyosagwa - 2/3 Magi (kikombe cha chai)Siagi - 220 gUnga wa mchele - Β½ MagiYai -1Vanilla - 1 kijiko cha chaiMAANDALIZIChanganya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.Paka mafuta treya ya kuchomβ¦
Open printable article βπMapishi ya Kidheri - Makande
MahitajiNyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kiloMaharage - 3 vikombeMahindi - 2 vikombeKitunguu - 1Nyanya - 2Kabichi lililokatwa - 2 vikombeKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha chaiVidonge vya supu - 2Chumvi - kiasiMafuta -1au 2 vijiko vya chakulaNamna Yβ¦
Open printable article βπMapishi ya Koshari Na Sosi Ya Kuku
Vipimo Vya KoshariMchele - 2 vikombeMakaroni - 1 kikombeDengu za brown - 1 kikombeVitunguu vilokatwakatwa (chopped) - 2Nyanya ziilokatwakatwa (chopped) - 4Nyanya ya kopo - 1 kijiko cha supuKitunguu saumu(thomu/galic) ilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichiβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe
VipimoNdizi mbichi - 10Nyama - kilo 1Nazi ya kopo - 1Chumvi - 1 Kijiko cha chakulaNdimu - 1Bizari ya manjano - 1 Kijiko cha chaiPili pili mbichi - 3Nyanya (tomatoes) - 2Kitunguu maji - 1Kitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chakulaβ¦
Open printable article βπMapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe
MahitajiMbatata / viazi - 2 kiloNyama ngβombe - Β½ kiloKitunguu maji - 2Tungule/nyanya - 2Nazi /tui zito - 2 vikombeKitunguu saumu(thomu/galic) ilosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supupilipili shamba/mbichi ilosagwa - kiasiMdalaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Nyama ya Kusaga, Adesi Za Brauni Na Zabibu
MahitajiMchele wa Par boiled au basmati - 5 vikombeNyama kondoo/mbuzi ya kusaga - 1 kikombeKitunguu - 2Kitunguu saumu (thomu/galic) - 7 chembeAdesi za brauni (brown lentils) - 1 kikombeZabibu - 1 kikombeBaharaat/bizari mchanganyiko - 1 kijiko cha supuChumvi - β¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga
MahitajiMuhogo - 3Tui La Nazi - 2 vikombeChumvi - kiasiPilipili mbichi - 2Mafuta - 1 kijiko mojaKitunguu maji - 1 kidogoNamna Ya Kutayarisha Na KupikaChambua muhogo ukatekate au tumia iliyo tayari.Chemsha muhogo katika sufuria kwa maji kidogo na chumvi, funikaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Bokoboko La Kuku
MahitajiNgano nzima (shayiri) - 3 VikombeKuku - Β½ (3 LB takriban)Thomu na tangawizi iliyosagwa - 1 kijko cha supuPilipili manga ya unga - Β½ kijiko cha chaiJiyrah (cumin/bizari ya pilau) - Β½ kijiko cha chaiChumvi - kiasiKidonge cha supu - 1Samli ya moto - Β½ kikβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Viazi Vya Nazi Kwa Nyama
MahitajiViazi - 3lbNyama - 1lbKitunguu - 1Nyanya - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha chaiManjano - Β½ kijiko cha chaiCurry powder - Β½ kijiko chaiNyanya kopo - 1 kijiko cha chaiPilipili ya unga - kiasi upendavyoChumvi - kiasiKidonge cha supu - 1Tui la β¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
MahitajiNyama isiyokuwa na mifupa - 1 Β½ Lb(ratili)Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 MagiVitunguu maji - 2Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi(karoti, mahindi, njegere)Pilipili Mbichi - 3Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1Pilipili manga - Β½ kijiko cha chaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia
MahitajiMihongo 3 - 4Tui - 1000 mlChumvi - 1 kijiko cha chaiKitunguu maji kilokatwakatwa - 1Nyanya mshumaa - 3-4Pilipili mbichi ndefu - 2-3Pilipili boga - 2Namna Ya Kutayrisha Na KupikaMenya mihogo kisha ikate kate vipande inchi tatu hadi nne, kila kipande kigβ¦
Open printable article βπMapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan
MahitajiNyama ya mbuzi au ngβombe ya mafupa - 2 LBMchanganyiko wa dengu (hadesi, mchele, chooko, ngano, dengu n.k au nunua ya tayari iliyokwisha changanywa - 2 VikombeKitungu maji (vikate vidogo) - 1Mafuta - ΒΌ KikombeNyana kata ndogo ndogo - 1Kitunguu saumu(thβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Pilau ya Mpunga Na Nyama Ya Ngβombe
MahitajiMpunga - 4 vikombeNyama - 1 kilo mojaKitunguu maji - 3Mbatata/viazi - 7 vidogodogoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi ilosagwa 3 vijiko cha supuBizari nzima/ya pilau/uzile/cumin - 3 vijiko vya supuMdalasini - 3 vipandeHiliki - 7 punjePilipili mangβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ngβombe
MahitajiNdizi mbichi - 10-12Nyama ngβombe - 1 kilo mojaKitunguu maji - 2Nyanya/tungule - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7Tangawizi mbichi - 1 kipandeNdimu - 2 kamuaChumvi - kiasiMafuta - 3 vijiko vya supuTui la nazi - 3 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaSagβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi
MahitajiNyama Ya Mbuzi - 1 KiloMchele - 4 MagiVitunguu - 3Nyanya - 2Nyanya kopo - 3 vijiko vya chaiKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 2 vijiko vya supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuGaram Masala (mchanganyiko wa bizari) - 2 viβ¦
Open printable article β