πJinsi ya kupika mkate wa sembe
Mahitaji:Unga sembe glass 1Unga ngano glass 1Sukari glass 1 (unaweza kupunguza kidogo)Maziwa glass 1Mafuta 1/2 glassMayai 4Iliki iliosagwa 2tbsBp 2tbsJinsi ya kupika:Saga sukari yako uweke kwenye bakuli safi pamoja na mayai. Tumia mashine ya cake kusagia hadi β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika pizza ya mboga mboga na cheese
MAHITAJI1 kilo unga wa ngano240 ml maji ya vugu vugu2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula2 asali kijiko kidogo cha chai1 chumvi kijiko kidogo cha chai1 hamira ya chenga kijiko kidogo cha chaiJINSI YA KUPIKAChukua bakuli weka maji ya uvugu vugu, amira ya chengβ¦
Open printable article βπMadhara ya soda
Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya.Aina nyingi za soda zina kafeini ambayo huzuia usharabu (ufyonzwaji) wa madini ya chuma mwilini hasa yatokanayo na vyakula vya mimea Hata hivyo soda zinaweza kutumika kwa kiasi kidogo kama kiburudisho, ila tuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kuishi maisha marefu (Mambo ya kuzingatia ili uishi maisha marefu)
Kuishi ukiwa na afya na kuishi maisha marefu kunawezekana kwa kubadili hali ya maisha unayoishi inayoharibu afya yako mfano uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi,kutokufanya mazoezi na kutokula matunda na mbogamboga.Mambo yanayoweza kukusaidia kuishβ¦
Open printable article βπMapishi ya tambi za mayai
Tambi za mayai ni moja kati ya vyakula ambavyo napenda kuandaa pale ninapokua ninaharaka au sina muda mrefu wakukaa jikoni.pishi hili huchukuca muda mfupi sana na nimlo uliokamilika.MahitajiTambi Β½ paketiVitunguu maji 2 vikubwaKaroti 1Hoho 1Vitunguu swaumu(katβ¦
Open printable article βπMapishi ya tambi za kukaanga
Kupika tambi ni kama ifuatavyoVIAMBA UPISHITambi pakti mojaSukari ΒΎ kikombe cha chaiMafuta Β½ kikombe cha chaiIliki kiasiMaji 3 Vikombe vya chaiVanilla / Arki rose 1-2 ToneZabibu Kiasi (Ukipenda)JINSI YA KUPIKA TAMBI ZAKO1. Zichambue tambi ziwe moja moja.2. Mimβ¦
Open printable article βπTofauti kati ya yai la kuku wa kienyeji na la kuku wa kisasa
Kilishe mayai yote ni sawa. Virutubishi vinavyopatikana kwenye yai la kuku wa kienyeji kama protini, vitamini A, madini ya chuma na virutubishi vya aina nyingine, ndivyo hivyo vinavyopatikana pia kwenye yai la kuku wa kisasa.Tatizo linaweza kutokea pale ambapoβ¦
Open printable article βπMapishi ya Supu Ya Maboga
Viamba upishiBlue band vijiko vikubwa 2Maziwa vikombe 2Royco kijiko kikubwa 1-2Pilipili manga (unga) kijiko cha 1Chumvi kiasi Maji lita 2-3Boga kipande Β½Viazi mviringo 2Vitunguu 2Karoti 2Nyanya 2Hatuaβ’ Menya boga, viazi, karoti, nyanya na kwaruza weka kwenya sβ¦
Open printable article βπLISHE BORA KWA WATU WENYE AFYA NZURI
β’ Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka.β’ Lishe bora linamaanisha pia kula chaβ¦
Open printable article βπUNYONYESHAJI BORA WA MAZIWA YA MAMA
β’ Maziwa ya mama pekee ndio chakula na kinywaji cha mtoto bora zaidi kwa watoto kwa miezi sita ya kwanza.β’ Ni jambo la muhimu sana kunyonyesha watoto wachanga kwa muda wa miezi minne na uendelee kunyonyesha hadi mtoto atakapofikisha mwaka mmoja na kuendelea.β’ β¦
Open printable article βπMAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE
1. Chakulani kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na kuupatia mwili virutubishi mbalimbali Chakula huupatia mwili nguvu, kuulinda na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali .Mfano wa chakula ni ugali, wali, maharagwe, ndizi, viazi, mchicha, nyama, samaki.2. Lishβ¦
Open printable article βπVirutubishi, kazi zake katika mwili na vyanzo vyake
Virutubishini viini vilivyoko kwenye chakula ambavyo vinauwezesha mwili kufanya kazi zake, karibu vyakula vyote huwa na kirutubishi zaidi ya kimoja ila hutofautiana kwa kasi na ubora. Kila kirutubishi kina kazi yake mwilini na mara nyingi hutegemeana ili viwezβ¦
Open printable article βπKupima lishe au afya ya mtu
Njia za kupima AfyaNjia mbalimbali hutumika kupima hali ya lishe, njia hizi ni;1. Vipimo vya umbile la mwili2. Vipimo vya maabara3. Kuchukua historia ya ulaji na maradhiVipimo vya umbile la mwiliBaadhi ya vipimo ambavyo vinaweza kutumika kutoa tahadhari kuhusuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Cookies Za Jam Ya Peach Na Raspberry
MAHITAJIUnga kikombe 1 Β½Siagi Β½ kikombeSukari Β½ kikombeYai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiJam ya peach na raspberryMAANDALIZIWash oven moto wa takriban 180 β 190 Deg FPiga siagi na sukari katika mashine mpaka iwe laini na nyororo (creamy) kisha weka yai na vanilla.β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za Rangi
MAHITAJIUnga vikombe 2 ΒΌSiagi 250gSukari kukaribia kikombe Β½ (au takriban vijiko 10 vya kulia)Baking powder Β½ kijiko cha chaiUte wa yai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiSukari Ya Kunyunyizia na rangi mbali mbali.MATAYARISHOKagawa sukari katika vibakuli utie rangi mbaβ¦
Open printable article β