πJinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli
Viamba upishiUnga 1 Magi (vikombe vya chai)Sukari ya browni Β½ MagiSiagi iliyoyayushwa 125 gNazi iliyokunwa Β½ MagiMjazo wa karameli (Caramel filling)Syrup 1/3 kikombe cha chaiSiagi iliyoyayushwa 125 gMaziwa matamu ya mgando 2 vikopo (condensed milk)Mjazo wa choβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.Namna ya kutumia barafu kutibu chunusi ni rahisi na haraka zaidi. Chukua kipande cha barafu na ukipitishe sehemu zilipo chunusi mara kadhaa kwa dakika 3 hadi 5 hivβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe.Kina nguvu za kuua bakteria mbalimbali na kuzuia magonjwa ikiwemo kutibu chunusi. Kuna namna 2 za kutumia kitunguu swaumu kutiβ¦
Open printable article βπMapishi β Kisamvu cha Karanga
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.MahitajiMajani ya kisamvuKaranga nusu kikombekitunguu kimojanyanya mbilikaroti mojamafuta na chumvi kiasiMatayarisho1. Osha kisamvu chako vizuri kisha katakata vipande vidogo vidogo2. Unaweza kutwaβ¦
Open printable article βπNjia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara
Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa maisha yetu. Yawezekana hufahamu kwamba nusu ya watu wanaovuta sigara watakufa, ikiwa ni matokeo ya athari kilevi hicho. Sigara inasababisha robo ya vifo vyote vya kansa nchini Uingereza kilaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika kisamvu bila nazi
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.Pia aina hii ya mboga hupikwa katika mapishi ya aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mpishi.Aina hii ya mboga kama zilivyo mboga zingine zaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Chicken Curry
Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry).MahitajiKuku mzimaNyanya kubwa 3Karoti mbiliPilipili hohoKotmiriTangawiziKitunguu majiKitunguu saumu kidogoNdimuMafuta ya kupikiaChumvi (pilipili ukipenda)Matayarisho1. Menya vitunguu β¦
Open printable article βπMapishi β Fish Finger
Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni.Mahitaji500g Fileti ya samaki120g Chenga za mkate100g Unga wa nganoMayai 2Ndimu 1Kitunguu saumu 1KotmiriMafuta yβ¦
Open printable article βπMapishi β Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji
Karibu tena jikoni, leo tunaandaa vitafunwa kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi.MahitajiMayai 3Soseji 2Mkate slesi 2Mafuta ya kupikia vijiko 2ChumviMatayarishoPiga piga mayai vizuri kwenye bakuli na weka chumvi kidogo kisha weka kikaango kwenye moto na mafutaβ¦
Open printable article βπMapishi β Saladi ya Matunda
Matunda ni mojawapo wa kundi la vyakula, ni muhimu sana kwa afya bora. Matunda yakitengenezwa vizuri yanavutia sana na yanakuwa ni chakula kizuri sana.MahitajiEmbe iliyoiva kiasiNanasiTangoTikiti majiZabibuPapaiMatayarisho1. Ondoa maganda kwenye embe, nanasi, β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Wali wa hoho
Wali wa hoho ni chakula maalum kinachotumika katika hafla au sherehe. Ni chakula chenye ladha nzuri na kina muonekano wa kuvutia kinapokuwa mezani tayari kwa kuliwa.Mara nyingi huandaliwa kama zawadi katika harusi hususan kwa watu wa pwani. Kwa kuwa zawadi hiyβ¦
Open printable article βπNamna ya kupika Vitumbua
Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni chakula ambacho hupendelewa sana na watu wa pwani. Na mara nyingi wamekuwa wakipika kwa kuchanganya na nazi ili kuvifanya view na ladha nzuri zaidiMahitβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biryani ya mbogamboga
Biriani ni miongoni mwa vyakula ambavyo ni nadra sana kupikwa katika familia nyingi tofauti na vyakula vingine. Inawezekana ni kutokana na watu wengi kutoelewa namna ya kuoika chakula hiki kutokana na kuhitaji viungo vingi ambavyo huwapa usumbufu wapishi.Kuna β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai
Mara nyingi biringanya hutumika kama kiungo cha nyongeza katika mchuzi. Hata hivyo, kiungo hiki kinaweza kupikwa chenyewe na kutoa mchuzi wenye ladha ya kipekee.Baadhi ya wapishi wameweza kubuni aina hii ya upishi ambayo huweza kupikwa kwa dakika tano tu na kuβ¦
Open printable article βπMapishi ya samaki aina ya salmon
Wakati mwingine mtu unakuwa umechoka na usingependa kupoteza muda jikoni, so mlo wa chapchap unakuwa ni wazo zuri, Mlo huu ni rahisi kuuanda na hata haikuchukui zaidi ya dakika ishirini chakula kinakuwa tayari mezani.MahitajiSalmon fillet 2Potatao wedge kiasiLβ¦
Open printable article β