PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda

Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baking soda hivyo kuifanya ngozi ipumuwe vizuri.Kwahiyo ukiwa na chunusi hebu fikiri kuhusu baking soda.…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matumizi ya mbaazi kama dawa

Mbaazi ni zao la chakula ambalo linalimwa sehemu nyingi sana hapa nchini, zao hili pia linaweza kutumika kama dawa kwa kutumia majani, mizizi na mauaMAANDALIZIChukua majani, maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (ni vizuri kama utachanganya vyote) pondaponda na u…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Donati

Viamba upishiUnga2 Magi (kikombe kibuwa cha chai)Sukari1/3 Kikombe cha chaiMayai 5Siagi 4 Vijiko vya chakulaHamira 1 Kijiko cha chakulaBaking Powder 1 Kijiko cha chaiVanilla 1 Kijiko cha chaiHiliki zilizosagwa 1 Kijiko cha chaiSukari ya laini ya unga(icing sug…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

ViambaupishiUnga 300gmSiagi 225gmIcing Sugar 60gmChokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) 225gmVanilla 2 kijiko cha chaiYai 1Baking Powder Β½ kijiko cha chaiNjugu za vipande Β½ kikombe cha chaiNjugu zilizosagwa ΒΌ kikombe cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Piga suk…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia asali

Asali hasa asali mbichi ya asili ni dawa nzuri sana ya kutibu chunusi. Asali ni antibiotiki ya asili ambayo husaidia kupunguza ukubwa wa chunusi na maumivu ya chunusi.Asali inaweza pia kuzuia ngozi yako isipatwe na maambukizi mengine ambayo yangeweza kusababis…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Visheti

Viamba upishiUnga 2 VikombeSamli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supuMaziwa ΒΎ KikombeIliki KiasiMafuta ya kukarangia KiasiShiraSukari 1 KikombeMaji ΒΎ KikombeVanila Β½ Kijiko cha chaiZafarani (ukipenda) KiasiJinsi ya kupika na kuandaaKatika kisufuria pasha m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna ya kujitibu chunusi kwa kutumia dawa ya meno au dawa ya mswaki

Dawa ya mswaki au dawa ya meno ni dawa nyingine ya asili unayoweza kutumia kujitibu chunusi. Hii inatumia usiku tu.Pakaa kiasi fulani cha dawa hii kwenye chunusi zako na uende ulale kasha asubuhi jisafishe na maji safi. Fanya zoezi hili kila baada ya siku 1 mp…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango

Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza.Tango ni moja kati ya dawa kamili za kutibu chunusi. Ni rahisi kulitumia tang…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam

Viamba upishiUnga 2 ViwiliSukari ya kusaga 1/4 KikombeSiagi 250 gmsJam kisiaUfuta KisiaVanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Tia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike v…

Open printable article β†’
πŸ“„

Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits)

ViambaupishiSiagi 100gmUnga wa kaukau (cocoa powder) 2 Vijiko vya supuMaziwa mazito (condensed milk) Moja kikopo (397gm)Bisikuti za Mary 2 PakitiNjugu Β½ KikombeKaratasi la plastikiJinsi ya kuandaa na kupika1. Vunjavunja bisikuti zote packet mbili ziwe vipande …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Labania Za Maziwa

Viamba upishiMaziwa ya unga 2 vikombeSukari 3 vikombeMaji 3 vikombeUnga wa ngano Β½ kikombeMafuta Β½ kikombeIliki kiasiJinsi ya kuandaa na kupikaPaka sinia mafuta kabla ya kupika labaniaKatika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuriKish…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao

Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau. Limau linajitokeza kwenye vyakula vingi tunavyokula kila siku mathalani limau halikosekani pakiwepo supu au mapishi yoyote ya samaki.Limau lina kiasi kingi cha vitamini C ambayo inaweza kutumi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia aloe vera

Mshubiri au Aloe Vera kama ilivyozoeleka na namna nzuri kwa wale wote wanaotaka kubaki na ngozi nyoro na ya kupendeza kila siku.Chukua kipande cha mshubiri freshi na ukikate kasha chukua maji maji yake (jeli) na upake moja kwa moja kwenye uso wako na ujisuguwe…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Ya Keki Kavu kwa kizungu Shortcake

Viamba upishiUnga 2 Magi (vikombe vya chai)Sukari iliyosagwa 2/3 Magi (kikombe cha chai)Siagi 220 gUnga wa mchele Β½ MagiYai 1Vanilla 1 kijiko cha chaiJinsi ya kuandaa na kupika1. Changanya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.2. Paka mafuta tre…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe

Viamba upishiUnga wa ngano 1 KiloSiagi ΒΌ kiloMayai 2Kastadi (custard) 3 vijiko vya supuBaking powder 1 kijiko cha chaiMaziwa 1 Β½ gilasiMafuta Ya kukaangia kiasi katika karaiMaandalizi na upikajiWeka unga katika bakuli kubwa kisha changanya na unga wa kastadi n…

Open printable article β†’