πVyakula 7 vya kuepuka kula ili uwe na afya nzuri
Inasemwa kuwa βwewe ni kile unachokulaβ kwa kumaanisha kuwa mwonekano wetu na afya ya mwili na akili unajengwa na chakula tunachokula. Madhara ya chakula chetu tunachotumia yako pia katika ngozi. Kuna vyakula vinavyozeesha ngozi kwa haraka na ni budi kuvijua nβ¦
Open printable article βπUmuhimu wa kula fenesi kiafya
Fenesi ni miongoni mwa matunda ya msimu yenye umbo la kipekee huku likiwa na ladha tamu isiyomithilika. Licha ya sifa hii, tunda hili linatajwa kuwa na faida lukuki endapo litaliwa na mwanadamu.Kwanza, linatajwa kuwa na virutubisho kadha wa kadha vyenye kazi mβ¦
Open printable article βπMwanamke kuamka mapema asubuhi kunapunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti
Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti.Kulingana na shirika la habari la BBC,wataalamu wa chuo kikuu cha Bristol nchini Uingereza wamewafanyia tathmini wanawake 400,000 na kutambua kuwa sio rahisi kwa mwanamke anaeamβ¦
Open printable article βπMadhara ya kuwa mnene kupindukia
Unene(obesity), ni ugonjwa unaokua kwa kasi kipindi hiki ukiambatana na madhara makubwa kiafya hata vifo. Unene hupimwa kwa kutumia kipimo kinachotambulika kitaalamu kama BMI (yaani uzito kwa Kilogram kugawa kwa urefu kwa mita mara mbili). Tatizo la unene ulioβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi kujua kuhusu rangi ya mkojo wako
Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako.1. Mweupe kabisa (Usio na Rβ¦
Open printable article βπMadhara ya kutumia dawa bila ushauri wa Dakitari
Mara nyingi watu wanaugua maradhi mbalimbali, lakini wengi wao hawapendi kwenda hospitali kufanya vipimo au kupata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa daktari. Kutokana na uwepo wa maduka ya dawa baridi, watu wengi wanapojisikia kuwa wagonjwa, hununua dawa kwenye β¦
Open printable article βπSababu ya meno kubadilika rangi
Wapo baadhi ya watu wanashindwa hata kuachia kicheko chenye bashasha hii ni kwa sababu meno yao yamekuwa na rangi, hivyo kuwafanya watu hao kuona aiabu. Pia watu wengi wakiona meno yana rangi ya njano hudhani ni machafu, meusi yanahitaji kusafishwa ili yawe meβ¦
Open printable article βπUmuhimu wa kupata chanjo
Siku zote sisi wanadamu huwa tunaambizana kuwa, kinga ni bora kuliko tiba, tukiwa na maana kwamba, ni vyema mtu ukachukua tahadhari mapema kabla haujafikwa na jambo au tatizo fulani.Vivyo hivyo katika chanjo, hii ni kinga ambayo hutolewa kwa binadamu na katikaβ¦
Open printable article βπMambo ya kufanya ili kupona majeraha mapema
Hakuna mtu anayependa kupata majeraha au kuchelewa kupona majeraha. Kwa kuwa uhai na uzima wetu haupo mikononi mwetu, ni vyema tukafahamu kuwa kuna wakati tunaweza kuumia.Kwa kutambua hili karibu nikufahamishe mambo matano unayoweza kuyafanya ili kuharakisha kβ¦
Open printable article βπMambo Mubimu kujua Kuhusu Tatizo la Shinikizo la damu (Tatizo la presha)
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer Shinikizo la damu husababishwa na nini?β¦
Open printable article βπVyakula vinavyosaidia kuongeza kinga ya mwili
Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu. Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yaβ¦
Open printable article βπMambo ya msingi kujua kuhusu ugonjwa wa ngiri
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katiβ¦
Open printable article βπVyakula visivyotakiwa kipindi cha ujauzito
Ili mtoto azaliwe akiwa na afya njema pamoja na akili timamu, akiwa tumboni lazima alishwe lishe bora na mlo sahihi. Mwenye jukumu la kutoa lishe bora na sahihi kwa kiumbe kilichomo tumboni ni mama. Anatakiwa kujua aina ya vyakula anavyopaswa kula. Vivyo hivyoβ¦
Open printable article βπSababu, dalili, matibabu na kinga ya fangasi sehemu za siri kwa mwanamke
Fangasi ya ukeni husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Ugonjwa huu huitwa vaginal candidiasis kwa kiingereza na ni kati ya magonjwa ambayo husumbua wanawake mara kwa mara.MaambukiziFangasi ya ukeni huambukizwa kwa njia ya;Vyoo vichafu.Kuchangia nguβ¦
Open printable article βπSababu na tiba ya tatizo la kukoroma usiku: Kukoroma unapolala
Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakatβ¦
Open printable article β