πLifahamu tatizo la maumivu chini ya kitovu
Tatizo hili huwakumba watu wengi sana kwenye jamii yetu lakini kwa bahati mbaya watu wengi huchukulia ni jambo la kawaida kitu ambacho baadae hupelekea watu wengi kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula.Maumivu β¦
Open printable article βπMadhara ya kubana mkojo muda mrefu
Utakubaliana na mimi kwamba, kitendo cha mtu kubanwa na haja ndogo siyo kitu cha hiyari kwamba sasa mtu anaamua ngoja nibanwe na mkojo, hili ni jambo la asili na ni matokeo ya vyakula, matunda au vinywaji tunavyotumia. Kwa lugha nyingine tumekuwa tukiita kuwa β¦
Open printable article βπMadhara ya kumlaza mtoto kifudifudi, kumlaza kwa tumbo
Unafahamu nini kuhusu suala la kumlaza mwanao? Maana Mapokeo tuliyo yapokea enzi na enzi ni kuwa ukitaka mtoto wako alale bila kushtuka basi alalie tumbo. Bado watu wengi wanaendelea kufanya hivyo hata sasa hivi unaposoma makala haya.Je madaktari wanasemaje kuβ¦
Open printable article βπMadhara ya kisukari kwa nguvu za kiume
Kulingana na baadhi ya chunguzi zilizofanywa na wanasayansi asilimia 60 β 70 ya wanaume hupoteza nguvu za kiume kutokana na ugonjwa wa kisukari.Sababu ni ngumu sana kuelewa lakini hutokana na mabadiliko ya mwili ambayo hutokea baada ya mtu kupata kisukari.Ukiaβ¦
Open printable article βπMambo 10 yanayosababisha wanawake washindwe kupata mimba au wawe wagumba
Ugumba ni nini ?Hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye amewahi kuzaa lakini kwa sasa ameshindwa kubeba ujauzβ¦
Open printable article βπVitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumia
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliye tumboni.Miongoni mwa vitu hivyo ni pamoja na;1. Matumizi ya Pombe wakati wa ujauzito huathiri mtoto hivyo hβ¦
Open printable article βπUmuhimu wa kufanya Masaji
Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;Masaji uongeza kinga ya mwiliMasaji kushuka kwa homoni inayohusika na kupunguza maambukizi mbalimbali homoni ijulikanayo kama βcytokinesβ vile vile masaji inashusha homoni inayohusika na matendo ya mashari homoni ijulikβ¦
Open printable article βπNamna ya kuondokana na tatizo la kunuka Kikwapa
Harafu ya jasho inakera, kibaya zaidi ni kuwa wewe mwenyewe husikii harufu hiyo ila wale walio karibu yako. Kwa upande mwingine kujaribu kuzuia kutoka jasho ni hatari kwa afya yako na kujaribu kuondoa harufu kwa kutumia pafyumu husababisha madhara mengine ya kβ¦
Open printable article βπMambo ya kufanya unapostuka usiku ili kulinda afya yako
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika. Kwa sababuβ¦
Open printable article βπMbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombe
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili.Mwingereβ¦
Open printable article βπMadhara ya kunywa maji baridi na faida za kunywa maji moto na asali
UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku.MADHARA YA KUNYWA MAJI BARβ¦
Open printable article βπMchanganyiko wa asali na mdalasini una faida hizi
Mchanganyiko wa mdalasini na asali unasaidia katika mambo ya aiana tofauti tofauti kama ifutavto:Kuvu au fungus miguuniChanganya kijiko kimoja cha asali, vijiko viwili vya mdalasini na upake kwenye sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safishβ¦
Open printable article βπMambo ya msingi kufahamu kuhusu uotaji wa meno kwa mtoto
Mtoto wako atakapofikisha miezi sita, ataanza kuota meno. Watoto wengi wanapotaka kuota meno humwaga mate sana na hutaka kutafunatafuna vitu. Wakati mwingine watoto hutapika au kuhara wakiota meno.Kwa kawaida kuota meno hakufanyi mtoto kupandwa na joto. Kama mβ¦
Open printable article βπMambo 9 ya kuzingatia kuepuka ugonjwa wa saratani au Kansa
Tafiti nyingi zilizolizofanywa zinaonesha kuwa sababu kuu zinazosababisha saratani ni mtindo wa maisha usiofaa kama ulaji usiofaa na kutofanya mazoezi ya mwili. Ili kuepukana na ugonjwa wa saratani au kupunguza uwezekano wa kupata saratani ni muhimu kuzingatiaβ¦
Open printable article βπVyakula vya kukusaidia kupunguza uzito
Kuchagua vyakula sahihi kwa mlo wako inaweza kuwa changamoto na tungependa kuamini kwamba kupungua uzito ni jambo tu la kula kalori chache na kufanya mazoezi zaidi. Hata hivyo, si mara zote zoezi hili linakuwa rahisi. Kama ni lengo lako kupunguza uzito, kuchagβ¦
Open printable article β