πFaida za kunywa juisi ya ubuyu
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.Faida za kunywa juisβ¦
Open printable article βπFaida za ulaji wa Peasi
Peasi ni tunda ambalo limekuwa halithaminiwi licha ya kuwa na faida lukuki katika mwili wa binadamu. Tunda hilo ambalo kwa umbo linafanana na tufaa (apple), lina faida nyingi kwa binadamu iwapo atalitumia mara kwa mara.Tunda hili limekuwa adimu kutokana na kutβ¦
Open printable article βπFaida za matumizi ya Ukwaju kiafya
Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:Huondoa sumu MwiliniChanzo kizuri cha viua sumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)Una Vitamin B na CChanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"Huondoa homaHushusha joto la mwili na kuondosha homaβ¦
Open printable article βπHizi ndizo faida za kiafya za kuota jua
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza.Kwa hakika kuna umuhimu mkubwa wa jua kwa mimea na viumbe vingine akiwemo β¦
Open printable article βπJinsi msongo wa mawazo unavyoweza kukusababishia ugonjwa wa moyo
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress). Sababu kubwa ambazo husababisha msongo ni masuala ya kazi hata pia masuala ya kijamii. Masuala ya kikazi ni kama kutokuwa na furaha kazini, kazi nyingi, kufanya kazi kwa maβ¦
Open printable article βπJinsi ya kufanya ili upate mtoto wa kike au wa kiume
Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutokaβ¦
Open printable article βπHizi ndizo sababu kwa nini ule Tende kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulinganβ¦
Open printable article βπJinsi ya kufanya kupunguza mwili kwa kupanga ulaji wa chakula
Ulaji wa vyakula vingi vya wanga na mafuta ni chanzo kikubwa cha unene na uzito kuongezeka. Vyakula kama ugali,wali,mkate mweupe,bia na pombe za kienyeji zinazotokana na wanga (kimea) huchangia kuongezeka kwa uzito. Matumizi ya aina hii ya chakula ni muhimu kuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kujua kama una Mimba: Dalili za kwanza kabisa za Ujauzito
Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.Zifutazo ndizo dalili za awali za mimba changa:Kutokwa damu bila kutegemea."Wanawake wengi hufikiria kβ¦
Open printable article βπJinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa haraka
Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii ya Muungwana blog, naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako kwa kutumia hatua zifuatavyo: 1. Zingatia muda wa kβ¦
Open printable article βπJinsi ya kujikinga na ugonjwa wa homa ya Dengu (Dengue fever)
Ugonjwa wa dengue ni tishio la ugonjwa hatari linaongezeka siku hadi siku. Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoenezwa na mbu aitwae aedes.Ugonjwa huu huenea zaidi msimu wa nvua. Huchukua siku 3-14 kwa mgonjwa kuonyesha dalili za dengue. Dalili kuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kujisaidia unapotokwa na damu Puani
Unapotokwa na damu puani fanya yafuatayo;1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni.2. Weka pamba β¦
Open printable article βπJinsi ya kuongeza wingi wa mbegu za kiume
Ili kuongeza mbegu za kiume zingatia haya yafuatayo;Kula lishe boraChakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya ngano. Ongeza zaidiβ¦
Open printable article βπMadhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu.Takwimuβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutibu tatizo la kukosa choo bila kutumia dawa
Kukosa choo ni tatizo kubwa katika jamii zetu japo huwa halionekani kama ni tatizo. Hata hivyo kuna vyakula ambavyo vinapatikana kwa urahisi na vinasaidia kutibu tatizo la kukosa choo kwa njia rahisi kabisa.Kwa kawaida mtu mwenye afya njema anatakiwa kwenda chβ¦
Open printable article β