PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Jinsi ya kupika Biriani Ya Nyama Mbuzi Ya Mtindi Na Zaafaraan

Vipimo - NyamaNyama mbuzi - 1 kiloKitunguu menya katakata - 1Nyanya/tungule - 2Thomu (kitunguu saumu/garlic) saga - 5 chembeTangawizi mbichi – kuna/grate au saga - 1 kipandePilipili mbichi saga - 2Bizari ya pilau nzima (cumin seeds) - Β½ kikombe cha kahawaMdala…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi mzuzu

MahitajiNdizi tamu (plantain) 3-4Tui la nazi (coconut milk) kikombe 1 cha chaiSukari (sugar) 1/4 ya kikombe cha chaiHiliki (Ground cardamon) 1/4 ya kijiko cha chaiChumvi (salt) 1/4 ya kijiko cha chaiMatayarishoMenya ndizi kisha zikwangue utomvu wote. Baada ya …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mseto Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Nazi

Vipimo vya msetoTanbihi: Kiasi ya vipimo inategemea wingi wa watu, unaweza kupunguza au kuongeza. Hiki ni kiasi cha watu 6 takriban.Chooko - 3 VikombeMchele - 2 VikombeSamli - 2 vijiko Vya supuChumvi - kiasiNAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKASafisha na kosha chooko…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biriani ya Nyama Ng'ombe Na Mtindi

MahitajiMchele wa biriani - 5 gilasiNyama ya ngombe ya mifupa - 1 Β½ kilo na nusuVitunguu - 2 kiloTangawizi mbichi - ΒΌ kikombeThomu (saumu/garlic) - 3 vijiko vya supuMtindi - 2 vikombeNyanya ilokatwakatwa (chopped) - 3Nyanya kopo - 1 kikombeMasala ya biriani - …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Magimbi Kwa Nyama Ya Ng’ombe

VipimoMajimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7Nyama ng’ombe Β½ kilosTangawizi ilosagwa 1 kijiko cha kuliaHaldi (bizari manjano/turmeric) Β½ kijiko cha chaiTui zito la nazi vikombe 2Chumvi kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaSafisha nyama kisha weka chumvi, bizari ya manjano…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Mweupe Kwa Mchuzi Wa Kuku Wa Balti

VipimoKuku 1 mkate vipande vipandeVitunguu 3 katakata (chopped)Nyanya 5 zikatekate (chopped)Tangawizi mbichi ilokunwa au ilosagwa 1 kijiko cha kuliaThomu (kitunguu saumu) kilosagwa kijiko 1 cha kuliaBizari mchanganyiko (garam masala) kijiko 1 cha chaiJira/biza…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali Mchuzi Wa Samaki Nguru Wa Nazi Na Bamia Za Kukaanga

Vipimo Vya Ugali:Unga wa mahindi/sembe - 4Maji - 6 takribanNamna Ya Kutayarisha Na KupikaChota unga kidogo katika kibakuli uchanganye na maji kidogo .Weka maji mengineyo katika sufuria kwenye moto.Changanya na mchanganyiko mdogo ufanya kama uji.Kisha kidogo ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani Nyepesi Kupika Ya Samaki

VipimoMchele wa pishori (basmati) - 4Vitunguu katakata - 3Nyanya (tungule) katakata vipande vikubwa - 3 -5Pilipili boga la kijani (capsicum) katakataSupu ya kitoweo au vidonge vya supu - 1Bizari mchanganyiko Garama masala - 5-7Pilipili mbichi ya kusaga - Kiasi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya

VipimoMchele (Basmati) - 3 vikombeNyama ya ngo’mbe - 1 kgPilipili boga - 1 kubwaNyanya - 2 kubwaVitunguu maji - 2 vikubwaKitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 1 kijiko cha supuTangawizi - 1 kijiko cha chaiNdimu - 1Mafuta ya kupikia - Β½ kikombeMdalasini - Β½ …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga

VipimoMchele basmati, pishori - 3 vikombeVitunguu katakata - 2Nyanya/tungule katakata - 5 takribanViazi/mbatata menya katakata - 3 kiasiThomu (saumu/garlic) ilosagwa - 1 kijiko cha supuBizari mchanganyiko - 1 kijiko cha kuliaHiliki ya unga - Β½ kijiko cha chaiK…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kuku Na Mboga Mchanganyiko

VipimoMchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs)Kuku - 2Vitnguu vya kijani (sprin onions) katakata - 5 micheMaharage machanga (spring beans) katakata - kiasi kujaza mug mojaPilipili boga la (capsicum) katakata - 1Karoti katakata vipande virefu - 1Kit…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Boga La Nazi

VipimoBoga la kiasi - nusu yakeTui zito la nazi 1 Β½ gilasiSukari Β½ kikombeHiliki Β½ kijiko cha chaiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaMenya boga kisha katakata vipande vya kiasi.Weka katika sufuri tia maji kiasi ya kuchemshia na kuwiva bila ya kubakia maji mengi.Cha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Biriani Ya Nyama Ya Ng'ombe

MahitajiNyama - 2 Ratili (LB)Chumvi - kiasiMafuta - 1 KikombeSamli - Β½ KikombeKitungu (Kata virefu virefu) - 3 VikubwaNyanya (kata vipande) - 2Nyanya kopo - 1 Kijiko cha chakulaKitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chakulaTangawazi - 1 Kijiko cha chakulaP…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Adesi Za Brown Karoti Na Mchicha Kwa Samaki Wa Salmon

VipimoMchele vikombe 3Karoti 1 ikune (grate)Mchicha katakata kiasiAdesi za brownKitunguu katakata (chopped)Supu ya kitoweo chochote upendayo au vidonge vya supu 2Garama masala (bizari mchanganyiko) kijiko 1 cha kuliaSamli ΒΌ kikombeChumvi kiasiVipimo Vya Samaki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon

VipimoMchele 3 vikombeMboga mchanganyiko 1 kikombeSamaki wa Pink Salmon 5 -6 vipandeKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa 1 kijiko cha supuChumvi kiasiPilipili manga ya unga Β½ kijiko cha chaiPilipili nyekundu ya unga Β½ kijiko cha chaiNdimu ziloka…

Open printable article β†’