PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu

MahitajiBamia (okra) 20Nyanya chungu (garden eggs) 5Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chaiNyanya (fresh tomato) 1Chumvi (salt) kidogoPilipili 1/4MatayarishoOsha bamia, nyanya chungu na nyanya kisha vikatekate katika vipande vidogovidogo. Baada ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia

MahitajiDagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)Bamia (okra 5)Nyanya chungu (garden egg 5)Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)Nyanya (fresh tomato 2)Kitunguu (onion 1)Curry powder 1/2 ya kijiko cha chaiTurmeric powder 1/2 kijiko cha chaiL…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maharage

MahitajiMaharage (beans 2 vikombe vya chai)Nazi (coconut milk kiasi)Vitunguu maji (onion 1kikubwa)Nyanya (fresh tomato 1)Kitunguu swaum (garlic paste 1/4 kijiko cha chai)Chumvi (salt kiasi)Curry powder 1 kijiko cha chaiMafuta (vegetable oil)MatayarishoChemsha …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Samaki wa kupaka

MahitajiSamaki (Tilapia 2)Nyanya ya kopo (Tomato tin 1)Kitunguu (Onion 1)Tangawizi (ginger kiasi)Kitunguu swaum (garlic clove )Mafuta (Vegetable oil)Pilipili (scotch bonnet pepper 1)Tui la nazi zito (coconut milk 2 vikombe vya chai)Curry powder 1/2 cha kijiko …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maharage na spinach

MahitajiMaharage yaliyochemshwa kiasiSpinach zilizokatwa kiasiVitunguu maji 2Nyanya 1/2 kopoSwaum/Tangawizi 1 kijiko cha chakulaCurry powder 1 kijiko cha chaiOlive oilChumviMatayarishoKaanga vitunguu vikianza kuwa vya brown tia tangawizi/swaum kisha nyanya. Pi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mchuzi wa kambale

MahitajiKambale 2Nazi kopo 1Nyanya kopo 1Vitunguu 2Curry powder 1 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiBinzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chaiSwaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakulaGiligilani kiasiLimao 1/2ChumviOlive oilMatayarishoLoweka samaki kati…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Firigisi za kuku

MahitajiFiligisi (chicken gizzard) 1/2 kiloCarrot iliyokwanguliwa 1Nyanya 1/2 kopoVitunguu maji 1 kikubwaTangawizi/swaum 1 kijiko cha chaiHoho 1 iliyokatwakatwaLimao 1/2ChumviCurry powder 1/2 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiChilli powder 1/4 kijiko …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Kabichi

MahitajiKabichi 1/2 kiloNyanya ya kopo 1/2Kitunguu 1Curry powder 1/2 kijiko cha chaiChumviOlive oilMatayarishoKwanza kabisa bandua magada ya juu ya kabichi, kisha ioshe na uikaushe maji baaba ya hapo katakata kabichi (inapendeza zaidi kama ikikatwa nyembamba) …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maini ya kuku

MahitajiMaini ya kuku 1/2 kiloVitunguu vikubwa 2Hoho 1Pilipil 1Limao 1/2Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chaiCurry powder 1/2 kijiko cha chaiMafuta ya kupikiaMatayarishoSafisha maini weka pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu,swaum na tangawizi pamoja (hakikisha …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Tambi za sukari

MahitajiTambi (spaghetti 1/2 ya packet)Mafuta (vegetable oil)Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)Maji kiasiMatayarishoTia mafuta kiasi kwenye sufur…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya Kupika Kalmati

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)Hamira (yeast kijiko 1 cha chai)Sukari (sugar 2 vikombe vya chai)Hiliki (cardamon 1/4 ya kijiko cha chai)Maji kikombe1 na 1/2MafutaMatayarishoChanganya unga, hamira, maji na mafuta kijiko 1. Koroga viz…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Sponge keki

MahitajiUnga wa ngano (self risen flour) 100gSukari (sugar) 100gSiagi isiyokuwa na chumvi (unsalted butter) 100gMayai (eggs) 2Vanila 1 kijiko cha chaiChumvi pinchWarm water 3 vijiko vya chakulaMatayarishoKwanza washa oven moto wa 200 C. Baada ya hapo saga butt…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya mboga mchanganyiko

MahitajiViazi ulaya 4 vya wastaniHoho jekundu 1/2Hoho la njano 1/2Hoho la kiajani 1/2Njegere 1 kikombe cha chaiCarrot 1 kubwaBroccoli kidogoCauliflower kidogoKitunguu 1Nyanya 1/2 kopoSwaum/tangawizi 1 kijiko cha chakulaCurry power 1 kijiko cha chakulaCoriander…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya choroko

MahitajiChoroko kikombe 1 na nusuNazi kopo 1Kitunguu kikubwa 1Nyanya 1/2 kopoSwaum 1 kijiko cha chaiCurry powder 1 kijiko cha chaiChumvi kiasiOlive oilPilipili nzimaMatayarishoLoweka choroko usiku mzima kisha zichemshe mpaka ziive na ziweke pembeni. Baada ya h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Ndizi Mbichi Za Supu Ya Nyama Ng’ombe

MahitajiNdizi mbichi - KisiaNyama ng’ombe - Β½ kiloPilipili ya kusaga - 1 kijiko cha chaiTangawizi ya kusaga - 2 vijiko vya supuThomu (garlic/saumu) - 1 kijiko cha supuBizari mchuzi - 1 kijiko cha chaiNazi ya unga (ukipenda kuongezea) - 2 vijiko cha supuChumvi …

Open printable article β†’