PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mapishi ya Pasta za cream na uyoga

MahitajiPasta (2 na 1/2 vikombe vya chai)Uyoga (mashroom 2 vikombe vya chai)Cream (1 kikombe cha chai)Mafuta (vegetable oil)Kitunguu (onion 1)ChumviMajani ya basil (dried basil leaves 1/2 kijiko cha chai)MatayarishoChemsha maji ya kutosha kisha tia chumvi na m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani

MahitajiMchele (rice 1/2 kilo)Nyama (beef 1/2 kilo)Vitunguu (onion 2)Kitunguu swaum (garlic 1 kijiko cha chai)Tangawizi (ginger 1 kijiko cha chai)Maziwa mgando (yogurt 1 kikombe cha chai)Hiliki nzima (cardamon 6)Amdalasini nzima (cinamon stick 2)Karafuu nzima …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali na kuku wa kienyeji

MahitajiKuku wa kienyeji (boiler chicken 1)Mchele (rice 1/2 kilo)Nyanya ya kopo (tin tomato 1)Vitunguu (onion 2)Vitunguu swaum (garlic cloves 6)Tangawizi (ginger)Carry powderBinzari ya njano (Turmaric 1/2)Njegere(peas 1/2kikombe)Carrot iliyokwanguliwa 1Limao (…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya chipsi

MahitajiViazi (potato) 1/2 kiloMafuta ya kukaangia (veg oil)ChumviMatayarishoMenya viazi kisha vioshe na vikaushe maji yote kwa kutumia kitchen towel.Baada ya hapo katakata katika shape ya chips uzipendazo either nyembamba au nene kisha zikaushe tena maji na u…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali wakukaanga

MahitajiMchele (Basmati rice) 1 kiloVitunguu (chopped onion) 2 vikubwaGarlic powder 1/2 kijiko cha chaiNjegere (peas) 1 kikombeTurmaric 1/2 kijiko cha chaiCoriander powder 1/2 kijiko cha chaiCumin seeds 1/2 kijiko cha chaiMafuta ya kupikia 2 vijiko vya chakula…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali wa mboga

MahitajiWali uliopikwa (cooked rice) kiasiHoho la kijani (green pepper) 1/2Hoho jekundu (red pepper) 1/2Carrot 1Kitunguu kikubwa (onion) 1Njegere (pears) 1/2 kikombe cha chaiMayai (eggs) 2Uyoga (mushroom) 2 vikombe vya chaiSoy source 2 vijiko vya chakulaChumvi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi

MahitajiMchele (rice vikombe 2 na 1/2)Vitunguu (onion 2)Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)Pilipil (scotch bonnet pepper 1)Curry…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali wa hoho nyekundu

MahitajiPilipili hoho (Red pepper 3)Cougette 1Kitunguu (onion 1)Uyoga (mashroom 1 kikombe cha chai)Carrot 1Nyanya (fresh tomato 1)Nyanya ya kopo iliyosagwa (tomato paste 3 vijiko vya chai)Giligilani (fresh coriander)Binzari manjano (Turmaric 1/2 ya kijiko cha …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya chipsi na samaki wa kuchoma

MahitajiViazi ulaya (baking potato 5 vya wastani)Parprika 1 kijiko cha chaiPilipili mtama ilyosagwa (ground black pepper 1 kijiko cha chaiKitunguu swaum cha unga (garlic powder 1 kijiko cha chai)Chumvi (salt)Mafuta (vegetable oil)Marination za samaki (angalia …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi za nazi na utumbo

MahitajiNdizi mshale 10Utumbo wa ng'ombe 1/2 kiloNazi ya kopo 1Nyanya 1Kitunguu kikubwa 1Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakulaOlive oil kiasiLimao 1ChumviCurry powder 1 kijiko cha chaiTurmaric 1/2 kijiko cha chaiCoriander ya powder 1/2 kijiko cha chaiPilipili …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Viazi vya nyama

MahitajiViazi (potato) 1 kiloNyama ya ng'ombe 1/2 kiloNyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tinVitunguu maji 2Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chaiHoho 1Curry powder 1 kijiko cha chaiPilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2ChumviCorianderMafuta ya kupikiaMatayarisho…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mihogo ya nazi na kuku

MahitajiMihogo kilo 1Kidali cha kuku 1 kikubwaNyanya 1 kubwaKitunguu maji 1 cha wastaniSwaum/tangawizi i kijiko cha chaiNazi kopo 1curry powder 1 kijiko cha chaiBinzari manjano 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili 1Chumvi kiasiMatayarishoSaga pamoja nyanya, ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya samaki aina ya salmon

MahitajiSalmon fillet 2Potatao wedge kiasiLettice kiasiCherry tomatoLimao 1SwaumChumviOlive oilMatayarishoMmarinate samaki na chumvi, swaum na nusu ya limao kisha muweke pembeni, baada ya hapo washa oven kisha tia potato wedge zikisha karibia kuiva anza kumpik…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mseto wa choroko

MahitajiMchele 2 vikombe vya chaiChoroko kikombe 1 na 1/2Nazi kopo 1Swaum 1 kijiko cha chakulaKitunguu 1 kikubwaBinzari nyembamba 1 kijiko cha chaiChumviMafutaMatayarishoLoweka choroko usiku mzima, pindi ukianza kupika loweka mchele nusu saa kisha katika sufur…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Maini ya ng'ombe

MahitajiMaini (Cow liver) 1/4 kiloVitunguu (chopped onion) 2Nyanya (chopped tomato) 1Kitunguu swaum/tangawizi (ginger /garlic paste) 1 kijiko cha chaiMafuta ya kupikiaChumviCorianderCurry powder 1 kijiko cha chaiLimao (lemon) 1/4Pilipili (scotch bonnet ) 1Mata…

Open printable article β†’