PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mapishi ya Wali, samaki, bilinganya na spinach

MahitajiSamakiSpinachBilinganyaNyanya ya kopo (Kopo 1)Vitunguu majiVitunguu swaumuTangawiziPilipli mbuziChumviLimaoCarry powderMcheleMafuta ya kupikiaCorianderHilikiAmdalasiniKarafuuMatayarishoOsha samaki na kisha wamarinate na vitunguu swaumu, tangawizi, lima…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza saladi

MahitajiTango 1/2Kitunguu 1/2Cherry tomato 8Lettice kiasiGreen olives kidogoBlack olives kidogoHoho jekundu 1CarrotGiligilani kidogoSalad dressingYogurt 1/2 kikombeSwaum 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili ya unga 1/4 kijiko cha chaiChumvi kidogoOlive oil kia…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Bilinganya

MahitajiBilinganya 2 za wastaniNyanya kubwa 1Kitunguu maji 1 kikubwaSwaum 1/2 kijiko cha chaiLimao 1/4Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiParpika 1/4 kijiko cha chaiPilipili mtama 1/4 kijiko cha chaiCurry powder1/4 kijiko cha chaiChumvi kiasiCorianderOlive oil…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Supu ya makongoro

MahitajiMakongoro (miguu ya ng'ombe) kiasiLimao 1 kubwaKitunguu swaumTangawiziChumviPilipiliMatayarishoSafisha makongoro kisha yatie kwenye pressure cooker. Kisha tia kitunguu swaum, tangawizi, chumvi,limao na maji kiasi. Baada ya hapo yachemshe mpake yaive na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Mchemsho wa ndizi na nyama

MahitajiNdizi mbichi 6Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)Viazi mviringo 2Kitunguu swaumTangawiziKitunguu majiNyanya 1 kubwaMafuta (vegetable oil)ChumviLimaoPilipiliMatayarishoChemsha nyama na limao, kitunguu swaum, tangawizi chumvi na maji kiasi mpaka nyama iive, Hak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali, samaki wa nazi na kisamvu

MahitajiMcheleKisamvu kilichotwangwaSamakiMbaaziNyanya chunguVitunguuNyanya ya kopoTangawiziKitunguu swaumVegetable oilCurry powderTui la nazi (kopo 2)ChumviPilipiliLimaoMatayarishoSafisha samaki kisha wamarineti na kitunguu swaum, tangawizi, pilipili, chumvi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Tambi na nyama ya kusaga

MahitajiTambi (Spaghetti)Nyama ya kusagaKitunguu majiNyanya ya kopoKitunguu swaumTangawiziCarrotHohoLemonChumviCurry powderMafutaFersh corianderMatayarishoKatakata vitunguu maji, carrot, hoho, kisha weka pembeni. Saga vitunguu swaum na tangawizi pamoja kisha w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali, dagaa (wabichi) na matembele

MahitajiDagaa wabichi (Fresh anchovies packet 1)Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)Matembele ya kukaushwa (dried sweet potato leaves, handful)Nyanya ya kopo (tin tomato 1)Kitunguu maji (onion 2)Limao (lemon 1/4)P…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani la nyama ya ng'ombe

MahitajiNyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)Mchele (rice 1/2 kilo)Vitunguu (onion 2)Viazi (potato 2)Vitunguu swaum (garlic 3 cloves)Tangawizi (ginger)Nyanya ya kopo (tomato 1/2 ya tin)Curry powder (1/2 kijiko cha chai)Binzari nyembamba ya kusaga (cumin 1/2 kijiko …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali na dagaa

MahitajiDagaa (dried anchovies packet 1)Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2)Kitunguu maji (onion 1)Limao (lemon 1/4)Pilipili mbuzi nzima bila kukata (scotch bonnet pepper1, do not ch…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali, mchicha wa nazi na nyama ya kukaanga

MahitajiMchele (rice 1/2 kilo)Mchicha uliokatwakatwa (spinach mafungu 2)Nyama (beef 1/2 ya kilo)Nyanya (tin tomato 1/2 ya tin)Nyanya chungu ( garden egg 3)Kitunguu swaum (garlic cloves 3)Tangawizi (ginger)Curry powderVitunguu (onion 2)Limao (lemon 1)ChumviPili…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali maharage,mchuzi wa samaki na spinach

MahitajiMchele (rice 1/2 kilo)Maharage yaliyochemshwa (boiled red kidney beans 1 kikombe cha chai)Samaki waliokaangwa ( 2 fried fish)Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 ya tin)Vitunguu vilivyokatwa (onion 2)Kitunguu swaum (garlic 3 cloves)Tangawizi (ginger kiasi)Li…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Viazi, samaki na asparagus

MahitajiViazi (potato 1/2 kilo)Samaki (fish 2)Asparagus 8Kitunguu kilichokatwa (chopped onion 1)Kitunguu swaum kilichosagwa (garlic 4 cloves)Tangawizi iliyosagwa kiasi (ginger paste)Limao (lemon 1)Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander)Curry powder (kij…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau ya nyama ya ng'ombe na kachumbari

MahitajiMchele (rice vikombe 3)Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)Viazi mbatata (potato 3)Vitunguu maji (onions 3)Kitunguu swaum (garlic cloves 4)Tangawizi iliyosagwa (ginger kiasi)Hiliki nzima (cardamon 4)Karafuu (clove 4)Pilipili mtama (blackpepper 4)Amdalasini…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ndizi na samaki

MahitajiNdizi laini (Matoke 6)Viazi mbatata (potato 3)Samaki wabichi wa wastani ( Fresh tilapia 2)Kitunguu swaum (garlic 6 cloves)Tangawizi (fresh ground ginger vijiko 2 vya chai)Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 kopo)Vitunguu (onion 1)Pilipili (chilli 1 nzima)Ch…

Open printable article β†’