PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda

Yafuatayo ni magonjwa na njia za kujitibu kwa kutumia matundaKUTUBU KIUNGULIAAliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondokaJINSI YA KUZUIA KUHARISHAKamua maji ya chungwa lita1Kunywa glass1 kutwa mara 3Kuharisha kutakataJINSI YA KUPATA HAMU Y…

Open printable article β†’
πŸ“„

Faida za kiafya za Kula Matunda

Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda yanatofautiana kifaida. Zifuatazo ni faida za kula matunda ya aina Mbalimbali;FAIDA ZA TANGO1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.3. Kusa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara ya kunywa soda

Tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwamwaka.Japokua kuna watu wamekiri kunywa hata zaidi ya soda moja kwa siku ambayo huenda wanakunywa zaidi ya hicho kipimo.Biashara ya soda inalipa sa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku

Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika. Kwa sababu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo muhimu kujua Kuhusu Uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke

Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga

ViambaupishiMchele 3 vikombeNyama ya kusaga 1 LBMchanganyiko wa Nafaka (upendavyo) 1 kikopo(maharagwe, njegere, mbaazi, na kadhalika)Vitunguu maji kata vipande vipande 3 vya kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi 2 vijiko vya supuMafuta Β½ KikombeMchanga…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama

Viambaupishi: WaliMchele 3 MagiMafuta 1/4 kikombeKaroti unakata refu refu 3Vitunguu maji kata vikubwa vikubwa 1 kikubwaPilipli manga 1/2 kijicho chaiHiliki 1/2 kijiko chaiKarafuu ya unga 1/4 kijiko cha chaiMdalasini wa unga 1/2 kijiko cha chaiZaafarani (ukipen…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha

ViambaupishiVipimo vya Wali:Mchele 3 vikombe*Maji ya kupikia 5 vikombe*Kidonge cha supu 1Samli 2 vijiko vya supuChumvi kiasiHiliki 3 chembeBay leaf 1Viambaupishi: KukuKidari (chicken breast) 1KiloKitunguu 1Tangawizi mbichi Β½ kipandeKitunguu saumu(thomu/galic) …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Samaki wa kuokwa

MahitajiMackerel 2Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kulaPilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2Limao (lemon) 1/2Chumvi (salt) kiasiCurry powder 1/2 kijiko cha chaiCoriander powder 1/2 kijiko cha chaiMafuta 1 …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Kuku wa kukaanga

MahitajiMiguu ya kuku (chicken legs) 10Kitunguu swaum na tangawizi (ginger & garlic paste) 1 kijiko cha chakulaLimao (lemon) 1Pilipili iliyosagwa (ground scotch bonnet) 1/2Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander) kiasiChumvi (salt) kiasiMafuta ya kukaang…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Mkate wa mayai

MahitajiSlice za mkate 6Mayai 3ChumviOlive oilMatayarishoVunja mayai yote katika sahani kisha tia chumvi kidogo sana na uyapige mpaka chumvi ichanganyike. Kisha chukua frying pan na utie vimafuta kidogo na uweke jikoni. Mafuta yakishapata moto kiasi,chovya sli…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Mishkaki ya kuku

Kidali cha kuku 1 kikubwaSwaum,tangawizi 1 kijiko cha chaiLimao 1/2Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chaiCurry powder 1/2 kijikoPaprika 1/2 kijiko cha chaiHoho jekundu 1/2Hoho la njano 1/2Kitunguu 1/2ChumviOlive oilMatayarishoKatakata kuku ktk vipande vya mishka…

Open printable article β†’
πŸ“„

PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME

-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.~Ina umbo km yai(oval shape)~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopele…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Pilau Ya Samaki WaTuna Na Mboga

ViambaupishiMchele 2 MugsMboga mchanganyiko za barafu 1 Mug(Frozen veg)Tuna (samaki/jodari) 2 kopoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi 2 vijiko vya supuGaram masala 1 kijiko cha supuNyanya 2Kitungu maji 1Mdalasini nzima 2 vijitiKarafuu 6 chembePilipili mbi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mchemsho wa samaki na viazi

MahitajiSamaki mbichi (1)Viazi mbatata (3)Nyanya (1)Kitunguu majiLimaoKitunguu saumuTangawiziChumviPilipiliVegetable oilMatayarishoSafisha samaki kisha mmarinate na tangawizi, kitunguu swaum, chumvi na limao kwa muda wa masaa mawili. Baada ya hapo menya viazi …

Open printable article β†’