PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu

Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa kmmfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho.

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe

sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbalinami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayewezakukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda

Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapotambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupoanayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudanitambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hatakm upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika …

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya kumkumbusha mpenzi wako uwepo wako

Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapotambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupoanayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudanitambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hatakm upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika …

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa mapenzi wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda na unavyomuwaza kila siku

Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani

macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutamankukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ilamwili wangu upo kwa ajili yako dear

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti

nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbehuu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvunohayapo kwake,nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpotayar kumsaliti na lbd aanze yeye

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine

Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda sikuzote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewendiyo ua la moyo wangu!

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima

Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahabayako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokeaamini. Elewa mimiwako sikuachi asilani

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wanguumeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangupeke yako dear…

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele

Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyonimwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wakodaima, nakupenda dear…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu

Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewenitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpz

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi

mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe paleunapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchunguwake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba wa kumuuliza mpenzi wako anayatumiaje mapenzi

pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatiana hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongezafuraha,je we unaitumiaje silaha hiyo?

Open printable article β†’