PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye

Β»-β€”β€”Β»>Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktkmaisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uacheuchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako kujivunia kuwa na yeye

Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboniyangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokeakutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu nakaraha za huu ulimwengu .nakupenda dia.

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda

sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenziunayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtumia mume wako

hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako

Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe

Ni yangu mazoea kila cku cm yakokuipokea kama si mesejikunitumialeo naumia kila napo fikiria ninikimetokea hadimawasiliano yetuyameanza kupotea,sawa tu.naamini haliya kawida itarejeanamajonzi moyoni yatanipoteanakupenda mpz

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda

Nimezunguka pande zote za Tanzania machonikiyaangazakumsaka mrembowakumkabidhi wangu moyo wenye upendondani yake na kulilaTUNDA lakekwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisikama wewe ndiyeulie uteka moyo wangu.nakupenda laaziz

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kumwambia mtu unayempenda unatamani akupende

Raha ya ucngz ni ucngz . . . .''tamu''ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahinikiwa mimi,

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda

Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijutenakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumsihi mpenzi wako muendelee kupendana kwa kuwa yeye ni wa kipekee

Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na walasina wazo la kukutenda, nakuombatuendelee kupendana siku zote habbity wangu

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumuomba mpenzi wako akwepe fitina kwani unampenda sana

Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutendampz, nakupenda tukwepe fitina mpz.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali

sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbalnami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayewezakukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe kwa mpendwa kumwambia unampenda na kumuomba akupende

kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyomwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wamaisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake

mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwezkuipeza,nakupenda wewe pekee

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake

Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kamanyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza.

Open printable article β†’