Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe.
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe.
Open printable article βPenzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata.
Open printable article βKila mtu anataka kuwa jua linalongβarisha maisha yako,lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wagiza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.
Open printable article βUnaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali.Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unawezausihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangutu uliyoyaficha hayo.
Open printable article βKama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia nimajani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangubure.
Open printable article βNi ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Duniatofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.
Open printable article βWatu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maishahayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitajikuishi nikumbuke mimi.
Open printable article βWatu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tunitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kilanikijitahidi unaipoteza akili yangu
Open printable article βChuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akiliyangu.
Open printable article βKumjali mtu ni rahisi, lakini kumfanya mtu akujali nivigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali?
Open printable article βWatu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu
Open printable article βNiseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyonimwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwanakupenda, niamini mpenzi
Open printable article βDhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.
Open printable article βupendo ni jibu kwamba kila mmoja anatakaβ¦ .upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpenzi
Open printable article β"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napendakuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe"nakupenda laazizi"Kama mimi nilikuwa na maua kila wakatimawazo yanguyangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kablayako je wewe ungekuwepo nayoungempa naβ¦
Open printable article β