SMS ya kujivunia mpenzi wako
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.
Open printable article βMaji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
Open printable article βMoyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda!
Open printable article βUkweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Open printable article βMapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
Open printable article βMpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.
Open printable article βUtamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"
Open printable article βWewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
Open printable article βKukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini simtumaji.
Open printable article βSimu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue mesejina kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichokekwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane
Open printable article βManeno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe.
Open printable article βMvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchanahazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje,βtunafitiβ kuwa pamoja.
Open printable article βKuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,mimi si βSupamaniβ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchinyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.
Open printable article βNatamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.
Open printable article βNaweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utanipia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezikukosa nafasi ya kukuweka.
Open printable article β