πSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika
"Japokuwa" "Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha" "Kuwa" "Hata" "Kama" "Ukiona" "Nipo" ""KIMYA"" Muda""Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako" """Bado""" "Uko" Pale pale!!!!! Usijali"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".
Open printable article βπUjumbe wa siku ya kuzaliwa wa kutakia birthday njema kwa mpenzi wako
Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wakwe zangu,unajua ni kwa nini? Ni siku waliyokuleta kwenye hii dunia,happy birthday mpenzi!
Open printable article βπSMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yakonitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu,pendo langu la undani,na nitakUHESHIMU milele mpenzi wangu.
Open printable article βπMeseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najuawanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwauzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda
Open printable article βπSMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangutabibu ,we ndo wangu wa manani.
Open printable article βπSMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
ewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear!
Open printable article βπSMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI
Open printable article βπUjumbe wa kumtumia mpenzi wako wakati anahuzuni kumwambia kuwa uko kwa ajili yake
Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wakukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho,bali sipendi ulie peke yako.
Open printable article βπSMS ya kumtumia mpenzi wako kumshukuru kwa salamu
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.
Open printable article βπMeseji ya pongezi kwa mpenzi wako
pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi lamapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawilichumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.
Open printable article βπUjumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz
Open printable article βπSMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele
Tambua kuwa nakujaliFurahia kwamba nitakuwa na weweKatika siku zote za maisha yanguNitakupenda bila kikomo milele
Open printable article βπSMS ya kumuonyesha mpenzi wako unavyompenda
natamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi
Open printable article βπSMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine
chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangunavika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.
Open printable article βπMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dearβ¦
Open printable article β