Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitotona zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,nahitaji uwe wangu mama watoto!
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitotona zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,nahitaji uwe wangu mama watoto!
Open printable article βJoto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangumtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tumwenye thamani kwangu katika hii dunia.
Open printable article β"CHAI" bila sukari hainyweki."ASALI" bila nyuki haitengenezeki."PETE" bila kidole haivaliki.Na "MIMI" bila ya kukusalimia wala siridhiki! pokea maneno yafuatayo "I LOVE YOU" pokea my lovely kiss "MWAAAAAAA" my best wishes mtumie umpendaekama na mm nimo nirudisβ¦
Open printable article βKulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu yaβ¦
Open printable article βUPENDO ni ubeti wa maneno yaliyo tamkwa mpaka sasa hajulikan nani alietunga!PENZI ni hadithi iliyocmuliwa lakin mpaka sasa hafahamik nan muhucka, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika muda wote huhis anasalitiwa.PENZI Ni kama jengo lilokosa nβ¦
Open printable article βmacho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjuβ¦
Open printable article βUsimpende mtu tuu kwa sababu uko mpwekeAu kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendoSio pesa wala siluhisho la matakwa yako.
Open printable article βMapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondokaβ¦ Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA aβ¦
Open printable article βNakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengiwatakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapoambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakinihawajapata wa kuwaowa
Open printable article βTone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,ANAKUJALI na,ANAKUTAKIA mafanikio mema
Open printable article βHii ni mbegu bora inaitwa UPENDO ipande kwa ndg zako,na pale utakapokuta imeota imwagilie maji ya FURAHA,iwekee kivuli cha USHIRIKIANO, ipalilie kwa jembe la KUSAMEHE, iwekee mbolea ya AMANI, ipige dawa ya NENO LA MUNGU, itakayoua wadudu wote waharibifu kama uβ¦
Open printable article βNaomba upokee zawadi hii ya kiwembe.Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwakupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako,nimeambiwa ilinipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.Je! uko tayarβ¦
Open printable article βWewe ni mngβarao machoni mwangu;Tabasamu la midomo yangu;Furaha ya uso wangu;Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.
Open printable article βMpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafikizako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zakowanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya,tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
Open printable article βSi vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"
Open printable article β