PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ujumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye

Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wakushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi waupendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwemampenzi

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya

Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambomuhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, lapili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwakuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuunganapamoja.Nashukuru nimekupata wewe nikupenda…

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda

Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakamaya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimimilele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie

pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati

moyo upendao kwa dhati.haujalish ni kababu au chapat.n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati.Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat.Huu ni…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli

Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familiaPendo la kweli humaanisha, kupenda kweliKumlinda, kumjali, kuvumilia na kusameana

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya kumsihi mpenzi wako akupende kabla hajachelewa

ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ''KILIO' 'HUZUNI' SIMANZI'' na "MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatak…

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishinawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ilimapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.Mchana mwema

Open printable article β†’
πŸ“„

Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,naishia kukuota ndotoni,hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

Open printable article β†’
πŸ“„

SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi

Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi

Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda,macho nayaangaza,taratibu navuta shuka na kujitanda,mishumaa pembezoni inaniangaza,mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosani joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!

Open printable article β†’
πŸ“„

Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako

Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupamahaba yanayozidi shaba. Nakupenda.

Open printable article β†’