SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema
Open printable article βPokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa manenolaini yenye ladha adimu, utamu wake ni kamaapple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuleteesalamu "UHALI GANI MPENZI?"
Open printable article βDah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.Hodiiiiii, Hodiiiii,Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwβ¦
Open printable article βCkia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzoktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kablahjalala. g9t
Open printable article βFungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema
Open printable article βUsiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
Open printable article βUsiku Ni "utulivu"Usiku Ni "mzuri"Usiku Ni"upole"Usiku Ni "kimya"Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a!
Open printable article βRaha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema
Open printable article βUsiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
Open printable article βUkilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.
Open printable article β"""""Yule"""""Anipendezae lazima nimkumbuke""""nimpe salamu ""moyo""wangu ""uridhike""""Nimuombee kwaMWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"""nakutakia''""ucku mwema"
Open printable article βUamkapo nitakupa langu tabasamuUkweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwanguNakupenda sasa na milele kipenzi change
Open printable article βFungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema
Open printable article βMungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.Kitale katikati yake ukila utaridhika.Matamu na maji yake hukata kiu haraka.Weupe watui lake lina ladha ukipika.Kupaka mafuta yake mwilβ¦
Open printable article βNenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkutaamelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong'oneze mwambienampenda sanaaaaNilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezikuchezea nafac hyo laaziz niβ¦
Open printable article β