πMeseji nzuri ya salamu kwa umpendaye
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?" Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπSMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ilimapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.Mchana mwema Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπSMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako? Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda! Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpβ¦
Open printable article βπUjumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wakushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi waupendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwemampenzi Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπMeseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumiβ¦
Open printable article βπSMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπMeseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie Whβ¦
Open printable article βπMeseji ya kutakia usiku mwema
Usiku Ni "utulivu" Usiku Ni "mzuri" Usiku Ni"upole" Usiku Ni "kimya" Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a! Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπSMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema
Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA Unaweβ¦
Open printable article βπSMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumβ¦
Open printable article βπSMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
We Kipepeo,,.-.-.-._.' //'_.-.-.-., ''-.,-.:-)i(:'.-,.-'' '-..-'()'-..-'Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau. Kiβ¦
Open printable article βπSMS nzuriiii ya kumpa mtu hai
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahiβ¦
Open printable article βπMeseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
Usikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa Mtumie WhatsApp Mtumie SMS
Open printable article βπSMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje. Hodiiiiii, Hodiiiii, Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikβ¦
Open printable article β