PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ubikira ni nini?

Maana halisi ya neno β€œbikira” ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.Watu kadhaa wanasema kwamba kuwepo kwa kizinda, ambacho ni ngozi nyembamba laini i i …

Open printable article β†’
πŸ“„

Msichana ambaye hajawahi kujamiiana anaitwa bikira, je mvulana huitwaje?

Neno β€œbikira” ni mtu yeyote ambaye hajawahi kujamii ana maishani mwake, awe mwanamke au mwanaume.Zamani, watu walimtambua msichana bikira kwa njia ya kuhakikisha kwamba kile kiwambo chembamba ndani ya uke kipo. Lakini kwa sababu ngozi hii huweza kuchanika kwa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mvulana atajuaje kama msichana ni bikira? Na pia, msichana anaweza kujitambua vipi kama ni bikira?

Mvulana hawezi kuthibitisha ubikira wa msichana kwa njia ya kumwangalia wala kwa njia ya kumwingilia kimwili. Hii ni kwa sababu ubikira ni kutowahi kujamii ana na hautegemei kuwepo kwa kizinda ndani ya uke. Yaani msichana ambaye hajawahi kujamii ana, lakini am…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kweye Bikra, Kizinda ni nini na kinawezaje kuharibika?

Kizinda ni kiwambo laini kinachokuwepo ndani ya uke. Kiwambo hiki kina tundu katikati i i ili kuwezesha damu ya hedhi kupita kiurahisi. Ukubwa na unene wa kiwambo hiki hutofautiana kati ya msichana na msichana. Wakati wa tendo la kwanza la ngono, huchanika na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?

Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni kweli kwamba mwanamke akikaa muda mrefu akiwa bikira ni shida sana kuvunja kizinda akijamiiana kwa mara ya kwanza?

Ile ngozi ndani ya uke i inabakia kuwa nyembamba na laini sana, hata mwanamke akiwa bikira katika umri mkubwa i inaweza kuchanika. Kwa hiyo hamna haja ya kuwa na wasiwasi wa kutoweza kuvunja kizinda ukisubiri muda mrefu kabla ya kujamii ana kwa mara ya kwanza.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kumaliza ashiki au hamu ya kufanya mapenzi

Kwa vijana mara nyingine siyo rahisi kufahamu afanye nini mara anapopata ashiki (hamu) ya kutaka kujamii ana. Unaweza ukajaribu kujisahaulisha kwa kufanya mambo mengine kama kucheza michezo kujifu-nza, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kuungana …

Open printable article β†’
πŸ“„

Katika tendo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke, yupi anayepata starehe zaidi?

Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.La msingi katika kujamii ana ni kwa mwanaume kumstarehesha mwanamke …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni sahihi kuzungumza na wenzio/ marafiki juu ya uhusiano wangu wa kimapenzi?

Kama unavyohusisha rafiki zako katika mihemuko mingine, inaeleweka kama utataka kuwashirikisha katika uhusiano wako wa kimapenzi.Hii i ii inaeleweka kabisa, ali mradi i uheshimu usiri na msimamo wa mpenzi wako.Hii i ii ina maana kuwa utawahusisha marafiki zako…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu wengine hupenda kujamiiana na watu wa jinsi sawasawa? mapenzi ya jinsia moja

Ni vigumu kutoa jibu kamili kwa nini hisia hii i ii inatokea kwa watu wengine, kwa sababu wataalamu bado wanalifanyia utafiti.Siku hizi, wataalamu wanafikiri kwamba kuvutiwa kimapenzi na jinsia ya aina moja kunasababishwa na mambo mengi, ambayo ni pamoja na ma…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kufikia mshindo au kufika kileleni kwa mwanamke na mwanamme wakati wa kufanya mapenzi

Je, mwanamke anaweza kufikia mshindo? Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo katika kujamiiana ni ile hali ya pekee ya kujisikia vizuri kimwili. Tofauti na mwanaume, anapofikia mshindo mwanamke hakojoi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mwanamke anaweza kufikia mshindo (kufika kileleni)?

Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo katika kujamiiana ni ile hali ya pekee ya kujisikia vizuri kimwili. Tofauti na mwanaume, anapofikia mshindo mwanamke hakojoi kitu chochote.Kwa kawaida mwanaume ana…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kwa nini mwanamke akigongwa na uume kwenye uke yaani juu hutoa majimaji kupitia ukeni?

Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwanamke anatoa majimaji baada ya kugusana na uume kwenye uke, i ina maana kwamba ameshikwa na ashiki kubwa. Majimaji hayo yanarahisisha uume kupenya ukeni. Chanzo cha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia zipi zinaweza kumletea mwanamke mshindo haraka, na zipi zinamletea mwanaume mshindo haraka? Njia za kufika kileleni

Jambo la msingi kabisa ni kwamba wote wawili kuwa tayari kwa kujamii ana. Yaani kupendana na kujaliana sana, halafu kuwa tayari kwa tendo hilo kimwili, kimawazo na kiakili. Kutokuwa tayari kwa kufanya mapenzi, kwa mfano kwa sababu ya kuogopa ujauzito, inamzuia…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini mara nyingi mvulana ni mwepesi sana katika kuanzisha kufanya mapenzi? Na kwa nini mwanaume mara nyingi anafikia mshindo kabla ya mwanamke? Mwanaume anawahi kufika kileleni kwa nini?

Kwa kawaida i inakubalika kuwa wavulana ndiyo waaanze kuonyesha ishara za kujamiaana na tafiti zimeonyesha kwamba mara nyingi mwanaume anafikia mshindo kabla ya mwanamke. Hii ni ukweli katika sehemu nyingi za dunia.Baadhi ya wavulana wanatumia vibaya uwezo wao…

Open printable article β†’