PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Matatizo yanayotokana na ujauzito katika umri mdogo

Wataalamu wanashauri kwamba msichana anastahili kuanza kubeba mimba kuanzia umri wa miaka 18 hadi 20. Kabla ya umri huu, mwili wa msichana bado haujakomaa vizuri. Viungo vya uzazi bado ni vidogo na ngozi ni laini. Vilevile mfupa wa nyonga bado mwembamba kiasi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni matatizo yapi yanayotokana na ujauzito katika umri mkubwa?

Kwa wanawake wenye miaka zaidi ya 35 uwezekano wa kupata matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito au wakati wa kujifungua ni mkubwa zaidi kuliko wanawake kati ya miaka 20 na 35.Matatizo ni mengi zaidi kama mama ameshakuwa na watoto wengi. Baada ya kuzaa mimba tan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ugumba wa mwanaume unasababishwa na nini?

Ugumba wa mwanaume ni hali ya mwanaume kushindwa kumpa mwanamke mimba. Kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugumba.Kati ya wanaume wagumba, wengi wanazaliwa na ugumba na hakuna marekebisho yoyote yanayoweza kufanywa. Katika hali hii , ugumba unasababishwa n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ugumba wa mwanamke unasababishwa na nini?

Ugumba wa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kupata mimba. Kama kwa wanaume kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugumba wa wanawake.Ili mwanamke aweze kupata mimba, vitu vingi lazima vitokee. Lazima yai lipevushwe, lazima yai lii ngie kwenye mrija wa ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kama wameoana mume na mke na ikatokea hawapati mtoto, je, utajuaje kuwa tatizo liko kwa mwanamke au mwanaume?

Kwa wastani i i inachukua kama muda wa mwaka mmoja kwa mwanamke kuanza kupata ujauzito, wakikutana kimwili mwanaume na mwanamke bila kutumia njia ya kupanga uzazi. Wengine wanachukua muda mwingi zaidi, na wengine muda mfupi zaidi.Kama baada ya muda wa mwaka mm…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga shahawa bila shida, inawezekana kwamba ni mgumba?

Ndiyo, mwanaume ambaye ana uwezo wa kumwaga mbegu bila shida anaweza kuwa mgumba. Kutokuwa mgumba kuna maana kwamba uume wa mwanaume unaweza kusimama, kwamba mwanaume anaweza kumwaga shahawa na vilevile kwamba zile mbegu ni nzima na zina nguvu za kutosha za ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mwanamke ambaye ana hedhi kila mwezi, inawezekana kuwa mgumba?

Ndiyo, i inawezekana kwamba mwanamke anayepata hedhi yake kila mwezi akawa mgumba. Na vilevile i inawezekana kwamba mwanamke asiyepata hedhi kila mwezi siyo mgumba.Ni kweli kwamba kuna uhusiano fulani kati ya hedhi na uwezo wa kupata mimba. Kupata hedhi kila m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nifanyeje ili niepukane na kuwa mgumba?

Sababu kuu ya ugumba unayoweza kujisababishia ni kupata magonjwa ya zinaa. Unaweza kuepuka kuwa mgumba kwa njia ya kuzuia kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Magonjwa ya zinaa unaweza kuyazuia kwa njia ya kutojamii ana au kwa njia ya kutumia kondomu kila unapojamii…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna dawa yoyote ya kutibu ugumba?

Hakuna jibu la ujumla kwa swali hili, kwa sababu tiba ya ugumba inategemea chanzo maalum cha ugumba huo kwa mhusika. Kuna matatizo ya ugumba ambayo yanaweza kutibiwa, lakini mara nyingi ni vigumu au hata haiwezekani kumtibu mwanaume au mwanamke mgumba.Kwanza k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna njia salama ya kutoa mimba?

Hatari inategemea na mazingira ambapo mimba inatolewa. Kama ni hospitalini na i inatolewa na mtaalamu aliyesomea na kama mazingira na vifaa ni safi, uwezekano wa kutoa mimba salama ni mkubwa. Lakini, hata katika mazingira hayo, shida zinaweza kutokea.Msingi wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu wengine wanaamua kutoa mimba?

Hapa Tanzania utoaji wa mimba hauruhusiwi kisheria. Hata hivyo watu wengine wanaamua kutoa mimba kwa sababu mimba zao hazikutarajiwa. Kwa mfano, msichana mdogo ambaye bado anaenda shule, au mama ambaye tayari ana watoto wengi au umri mkubwa sana. Wanawake weng…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini mara nyingine mimba inatungwa kwenye mrija wa kupitisha mayai badala ya kwenye tumbo la uzazi?

Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uzazi. Maradhi hayo huharibu mirija ya kupitisha mayai. Uharibifu huo hufanya yai lisiweze kufika kwenye mfuko wa mimba na mara nyingi unasababishwa na magonjwa ya z…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?

Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kwa nini inatokea kuzaa mtoto mlemavu?

Kuna aina mbalimbali za ulemavu na kuna sababu mbalimbali za kuzaa mtoto mlemavu. Ulemavu wa mtoto unaweza kuwa wa kurithi au ukatokea katika hatua tofauti wakati mimba inakuwa, kama vile , wakati wa utungaji mimba, wakati wa ujauzito na wakati wa kuzaa.Baadhi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Bikira na ubikira

Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno β€œbikira” ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.Watu kadhaa wanasema kwamba kuwepo kwa kizinda, ambacho ni ngozi ny…

Open printable article β†’