PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?

Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi i chini ya miezi mitatu baada ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kukupata.Hata kama vipimo vilivyofanyika ni vya kuaminika, i itabidi uende kupima mara y…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je,niwasiliane na niishi vipi na watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Mtu anayeishi na virusi vya UKIMWI na UKIMWI anahitaji ushauri na mara pale atakapohisi unamjali i i i i i i i ( unamheshimu) na kumjali, uzito wa ugonjwa unakuwa mwepesi. Mtu mwenye UKIMWI ni mgonjwa kama wagonjwa wengine, i isipokuwa anahitaji faraja zaidi k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ni tahadhari gani nichukue ninapomhudumia mgonjwa wa UKIMWI?

Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI mara nyingi huenea sana kwa njia ya kujamii ana, na hauambukizwi kwa kumhudumia mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI au UKIMWI. Hata hivyo ni muhimu kuwa mwangalifu na kuchukua tahadhari ili kuzuia kuambukizwa.Ukimtibu vid…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo usiyoyajua kuhusu mimba na wasichana

Je, mimba hupatikanaje?Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba?

Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) …

Open printable article β†’
πŸ“„

Wakati wa kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume inayopenya kwenye yai, mbegu nyingine zinaenda wapi?

Ni kweli kwamba wakati wa kujamii ana na kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume i inayopenya kwenye yai. Mbegu zilizosalia hufa na kutoka kwa kupitia ukeni kwa sababu hazina kazi tena. Inashauriwa kwamba watu wanapomaliza kujamii ana, wasafishe vizuri sehemu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?

Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba kujamii ana na mwenzi wake. Mfuko wa mimba hufunga kabisa na kifuko kinamzunguka mtoto vizuri, na hivyo hakuna uwezekano wowote wa mbegu za kiume…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsia ya mtoto angali mimba

Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, ji…

Open printable article β†’
πŸ“„

Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?

Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, jinsia ya mtoto i inatokea. Uwezekano wa kumpa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, unaweza kupanga kuzaa aina ya watoto, yaani wa kiume au wa kike tu?

Mimba i inatungwa wakati yai la kike linaporutubishwa na mbegu za kiume. Kama tulivyoona hapo juu, jinsia ya mtoto i inategemea aina ya mbegu za kiume. Nusu ya mbegu za mwanaume zinatengeneza mtoto wa kiume na nusu ya mbegu zinatengeneza mtoto wa kike. Lakini …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?

Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupanga kuzaa aina fulani ya mtoto. Tulivyoona juu ni mwanaume ndiye aliye na aina mbili za mbegu. Aina moja husababisha kutokea mtoto wa kike na aina nyingine mtoto wa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mapacha wanapatikanaje?

Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufanana. Hii ina maana kwamba wametokana na yai moja lililotungwa mimba ambalo hujigawa katika makundi mawili tofauti ya chembechembe, kila mojawapo hubadilika kuwa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Dalili za kwanza za msichana au mwanamke kuwa na mimba ni zipi?

Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga yoyote na asipopata hedhi katika muda unaotakiwa, mara nyingi i i ina maana kwamba amepata mimba. The ListPages module does not work recursively. Dalili nyingi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mwanaume anaweza akajua kama amempa msichana mimba siku ileile walipojamiiana?

Hapana, hamna njia ya kufahamu kama amempa msichana mimba siku i ileile wanapojamii ana. Inachukua muda kwa mwili kuonyesha dalili za mimba.Msichana akitaka kwenda kliniki kupimwa mkojo, kwanza ahesabu tarehe i ipi alikuwa anategemea kupata hedhi yake.Kama ana…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nikishatambua kwamba nina mimba, nifanye nini?

Ukishatambua kwamba una mimba kuna mambo mbalimbali tofauti ya kufanya. Kwanza kabisa mweleze mwenzi wako na mshauriane hatua zipi mchukue. Pia, kwa msichana mdogo lazima uwaeleze wazazi wako. Siyo rahisi kuwaambia wazazi, kwa sababu hawatafurahi kuhusu ujumbe…

Open printable article β†’