PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Je, nitaweza kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI nikijamiiana na msichana au mvulana wa umri mdogo sana?

Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wako, lakini unategemea afya yake! Kama huyu msichana au mvulana tayari ameshapata virusi vya UKIMWI na unajamii ana naye utaweza kuambukizwa.Mara nyingi huwezi kufah…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini nao watu wanaishi kwenye ndoa wanapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Kuna sababu kuu mbili i kwa wana ndoa kupata maambukizi i ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI.Kwanza, i inawezekana kuwa mmoja kati yao alikuwa tayari na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kabla ya siku ya kuoana. Kwani hata mtu aliyeambukizwa na Virusi vya UKIMWI ana…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mtu anaweza kuambukizwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI iwapo atavaliana nguo na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Hapana, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI hauambukizwi kwa kuvaliana nguo na mgonjwa, kwa sababu vijidudu vya UKIMWI vinakufa baada ya muda mfupi vikiwa hewani. Hata hivyo, kufuatana na kanuni za usafi, ni vizuri zaidi kuvaa nguo zilizofuliwa na kupigwa pasi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Nikitumia nyembe kali au sindano pamoja na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI ninaweza kupata Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Ndiyo, unaweza kuambukizwa ukitumia nyembe kali au sindano kwa kuchangia pamoja na mtu mwenye virusi i vya UKIMWI. Matumizi ya vyombo vyenye makali, kama sindano, visu au nyembe yana hatari. Kama baada ya kutumika damu husalia katika vyombo hivi, na endapo vit…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kwa kuumwa na mbu?

Hapana, mbu na wadudu wengine hawawezi i kukuambukiza virusi vya UKIMWI kutokana na mfumo wa mii li yao. Virusi vya UKIMWI haviwezi kuishi kwenye mii li yao, kwa sababu siyo mazingira vinavyoyapenda. Virusi vya UKIMWI vinajilisha na kuzaliana katika chembechem…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, nikila na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Hapana, ukila na mtu mwenyemaambukizi ya Virusi vya UKIMWI huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI wala UKIMWI, isipokuwa pale ambapo wote wawili mna vidonda mdomoni na mnachangia kijiko kimoja. Lakini uwezekano huu ni mdogo sana, kiasi tunachoweza kusema kwamba …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, nikitoa au kupata damu hospitalini, itakuwepo hatari ya kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti hatari, kama mtaalamu wa afya aliyechoma sindano kwa ajili ya kutoa damu anatumia sindano na vifaa vilivyochemshwa.Kwa kawaida hakuna matatizo kuongezwa damu, kwa sa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI, anaweza kuzaa mtoto?

Na anaweza kumwambukiza mtoto aliye tumboni au wakati wa kumnyonyesha?Ndiyo, mama mwenye virusi vya UKIMWI na UKIMWI anaweza kubeba mimba kama mwanamke mwingine yeyote. Ila ni muhimu kukumbuka kwamba kuna uwezekano wa mtoto kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI.Lak…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ni asilimia ipi ya Watanzani ambao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Nchini Tanzania ni 7% ya watu wenye umri kati ya miaka 15-49 wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Hii i ii inamaanisha kuwa kati ya watu 100 wa umri huu 7 wao wameambukizwa na Virusi vya UKIMWI.Kila mkoa una watu walioambukizwa kwa kiwango tofauti, mikoa ming…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, nifanye nini ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Hakuna chanjo dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI, Lakini kuna mienendo ya tabia ambayo i itaweza kukusaidia kujikinga na maambukizi ya UKIMWI na UKIMWI. Kutokufanya ngono kabisa ni njia mojawapo ya kujikinga na maambukizi ya UKIMWI na UKIMWI. K…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?

Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni ya kupima damu yako katika vituo vyenye utaalamu wa upimaji.Ni muhimu kukumbuka kuwa Virusi vya UKIMWI, vinaonekana kwenye damu ya binadamu miezi mitatu baada ya …

Open printable article β†’
πŸ“„

Niende wapi kupima kama nina Virusi vya UKIMWI?

Vituo vyenye utaalamu na katika hospitali i au Taasisis kama vile Shirika la Amref au CCBRT wana uwezo wa kutoa ushauri nasaha na vipimo vya kuaminika. Ushauri nasaha unakusaidia wewe kuelewa kipimo hicho ni cha nini, ni majibu gani yanayoweza kupatikana au ku…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, nikiambukizwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI nifanye nini?

Jambo la msingi ni kutokukata tamaa na kuwa na matumaini. Mara nyingine i inasaidia kama utakuwa na mazungumzo na watu ambao tayari wanaishi na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au marafiki na ndugu unaowaamini. Jaribu kuongea na mwenzi wako i ili kumfahamisha juu y…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, matokeo ya kupima na kukutwa huna virusi vya Ukimwi ni yapi?

Kwa kawaida mtu anapoamua kwenda kupima mara nyingi anakuwa na sababu za kumfanya ahisi kuwa au kutokuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo mtu akipata jibu kuwa hana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, i itabidi ajiulize huo wasiwasi ulitokea wapi.Pale…

Open printable article β†’