PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Ni hatua zipi zinazochukuliwa na Serikali kuhusu matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya?

Serikali i i inatambua kukua kwa tatizo la dawa za kulevya nchini, kwani dawa za kulevya nyingi zinazotumika zinapitishwa na kuingizwa kwa magendo nchini. Kutokana na hali hii serikali imepitisha sheria kuhusu tuhuma za dawa za kulevya yaani Sheria ya Kuzuia M…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kama wazazi watawapa dawa za kulevya watoto wao watashitakiwa kisheria?

Ndiyo, watashtakiwa! Wakati mwingine wazazi huwatumawatoto wao kuchukua au kununua pombe au sigara nahata dawa za kulevya. Utumiaji na usambazaji wa dawa za kulevya ni kinyume cha sheria nchini Tanzania na sio uamuzi binafsi wa kifamilia.

Open printable article β†’
πŸ“„

Nani wa kulaumiwa kuhusu dawa za kulevya Tanzania, Serikali au wasambazaji na watumiaji?

Hakuna mtu wa kulaumiwa, lakini i i inabidi kila mtu awajibike. Kila mtu i inambidi afanye lolote lile lililo katika uwezo wake i ili kupunguza dawa za kulevya.Serikali i i inabidi i i ihakikishe kwamba sheria zilizowekwa zinatekelezwa. Pia i inatakiwa kuwasai…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kumbadilisha mtu aliyeathirika na dawa za kulevya

Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kumpatia nasaha. Jitahidi kumpatia taarifa zote muhimu kuhusu dawa za kulevya. Muhimu zaidi mweleze athari za matumizi ya dawa hizo. Hata wazazi unaweza kuwapatia ush…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?

Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa namaana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze rafiki zako kile unachokijua na nini unachofanya. Hivyo utapata heshima kutoka kwa wanarika wenzako na rafiki za…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kinga ya mwili ni nini?

Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinal…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nini kinatokea wakati Virusi vya UKIMWI (VVU) vinapoingia mwilini na vinakwenda wapi katika sehemu ya mwili?

Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu hasa kwenye damu, shahawa na maji maji ya ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Ndani ya chembechembe nyeupe ndiyo mahali virusi vinakaa na kuendelea kuzaliana. Vi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, inachukua muda gani tangu mtu aambukizwe na VVU hadi vionekane kwenye damu?

Inakadiriwa huchukua miezi mitatu tangu kuambukizwa na VVU hadi i virusi hivyo vionekane kwenye damu. Itakuwa kazi bure kukimbilia kwenda kupima VVU mara tu baada ya kufanya ngono isiyo salama. Inabidi kusubiri miezi mitatu kabla ya kwenda kwenye Ushauri Nasih…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?

Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anakuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii i ii inaweza kuchukua zaidi ya miaka kumi! Hii…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?

Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi wa kufanya ngono, uwezekano wa kupata maambukizi unaongezeka,. Hi ni kwa sababau kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha maambukizi endapo watashiriki ngono za aina ye…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je,mwanaume akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga shahawa anaweza kuambukizwa yeye au mwanamke na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga mbegu anaweza akaambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni hatari kwa mwanamke na pia kwa mwanaume, kwa sababu vijidudu vimo ndani ya majimaji ukeni na uumeni. Hasa kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda au m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, watu wote wenye virusi vya UKIMWI watapata UKIMWI? Na kama ndiyo, itachukua muda gani?

Ndiyo, baada ya muda fulani karibia watu wote wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI wataanza kuugua UKIMWI. Lakini muda kati ya kuambukizwa na kuanza kuugua UKIMWI unatofautiana. Wengine wanaishi muda mrefu. Kwa wastani watu wazee wazima wanaendelea kuishi mia…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, nikijamiiana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu, nitapata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?

Uwezekano wa kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukijamii ana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu ni mkubwa.Mpaka leo, kondomu ni njia pekee ya kuzuia kuambukizwaVirusi vya UKIMWI na UKIMWI wakati wa kujamii ana. Kama kondomu i inatumiw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI vinaambukiza kwa kujamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni?

Ndiyo, kuna hatari kubwa ya kuambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI wakati wa kujamii ana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni.Ngozi ya ndani ya sehemu ya haja kubwa ni laini sana na uwezekano wa kupata michubuko wakati wa kujamii ana ni mkubwa, kwa sab…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kunyonyana ulimi kunaweza kuchangia kupata virusi vya UKIMWI?

Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana mate wakati wa kubusiana tu, haiwezekani maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutokea. Lakini kama mmoja kati ya wapenzi ana vidonda / michubuko mdomoni, uwezekano wa k…

Open printable article β†’