πMtu anaweza kurithi uvutaji wa bangi?
Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wakiwaona wazazi au babu zao wakitumia bangi, wao hufikiri ni halali na wanaweza wakaanza kuvuta bangi pia.
Open printable article βπJe, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu?
Si kweli kabisa! Baada ya kuvuta bangi mtu hujiona kama jasiri sana na mwenye nguvu. Lakini madhara ya bangi ni kinyume na matarajio ya mtumiaji kwani mishipa husinyaa na ubongo hushindwa kufanya kazi zake vyema na kutoa uamuzi usio sahihi wa utendaji sahihi wβ¦
Open printable article βπJe, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?
Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo matatizo hubakia palepale na mara nyingi huongezeka hapo baadaye. Watu wanaovuta bangi huikimbia dunia halisi na huingia dunia ya ndoto kwa muda mfupi. Mara hisia β¦
Open printable article βπJe, kwa nini watu waanzao kutumia dawa za kulevya hupenda kuendelea kuzitumia?
Hii ndio hasa sababu kwa nini dawa za kulevya ni hatari! Mara unapozizoea unakuwa na ugumu wa kuendesha maisha yako bila dawa za kulevya. Kwa dawa nyingi za kulevya ubongo huzoea kuwepo kwake kwenye damu na dawa zaidi na zaidi huhitajika i ili kuendeleza hali β¦
Open printable article βπJe, mtu anawezaje kuacha kutumia dawa za kulevya na itamchukua muda gani kurudia hali yake ya kawaida?
Kitu muhimu ni kwamba, kweli uwe umedhamiria kuacha. Hatua ya kwanza ni kujiuliza kwa nini unatumia dawa za kulevya. Pale utakapojua ni nini ulikuwa unahitaji katika dawa za kulevya ni rahisi kutimiza malengo hayo kwa njia za kiafya zaidi. Jaribu kupunguza tarβ¦
Open printable article βπJe, ni kweli kwamba kuvuta bangi kunaongeza akili na uwezo wa kufikiri?
Hapana, hii si kweli! Vijana wanaoamini kwamba wana uwezo wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa sababu inawapa hisia ya kuzoea mihemko ya kusikia vizuri au kufahamu kwa haraka. Lakini ni kawaida kwamba uvutaji wa bangi unaathiri shule, kazi na shughuli nyinginβ¦
Open printable article βπJe, ni kweli matumizi ya dawa za kulevya ni mojawapo ya sababu zinazochangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU)
Dawa za kulevya zenyewe hazisababishi UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Lakini utumiaji wa dawa za kulevya hurahisisha kupata na kuenea kwa magonjwa haya. Dawa hizi hudhoofisha mwili na kinga ya mwili. Hivyo basi hurahisisha virusi vya magonjwa kuingia mwilini mwa β¦
Open printable article βπKwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo.
Open printable article βπKwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?
Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo kujitetea au kulaumu wengine. Mara nyingi huanza kudanganya au kusaliti marafiki na ndugu pale wanapohitaji fedha kwa ajili ya kβ¦
Open printable article βπKwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?
Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watumiajihushindwa kufyonza virutubisho vidogo kama vilevitamini, madini kutoka kwenye chakula na kwenda kwenye mfumo wa damu. Hiki ndicho kinachowafanya wakonde. Isitoβ¦
Open printable article βπJe, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?
Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika maβ¦
Open printable article βπJe, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?
Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa zakulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenyekusikiliza na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako. Kama mtu anategemea dawa za kulevya au anahitaji msaadaβ¦
Open printable article βπJe, nini kitatokea iwapo mwanamke atatumia dawa za kulevya wakati wa ujauzito?
Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumboni hulishwa kupitia damu ya mama yake. Kwa hiyo mama mjamzito anapotumia dawa hizo za kulevya, dawa huingia mwilini mwa mtoto anayekua. Matumizi ya dawa za kulevyβ¦
Open printable article βπNi dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea pale mwingizaji anapokamatwa?
Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bangi, hiroini, kokaini na mirungi yamepigwa marufuku. Hii ni pamoja na dawa ambazo zimethibitishwa na daktari kuwa zisitumike kwa matibabu. Kwa Tanzania βgongoβpia niβ¦
Open printable article βπKwa nini dawa hutengenezwa na kutumika hospitalini wakati zina madhara?
Baadhi ya dawa za kulevya pamoja na dawa za kutibu, hutumika hospitali kuokoa maisha na kupunguza maumivu. Hii inamaanisha kwamba wataalamu kama madaktari na wauguzi hudhibiti matumizi ya dawa hizi. Kwani watahakikisha kwamba dawa sahihi zinatumika, i takiwavyβ¦
Open printable article β