PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Je, kuna dawa zozote za kutibu magonjwa ya zinaa?

Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au utando mweupe. Lakini hata hivyo ni lazima upate matibabu mapema. Ukisubiri muda mrefu bila ya kutibiwa, inawezekana kwamba via vya uzazi vikapata madhara ya kudu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, nikioga mara baada ya kujamiiana, nitaweza kuwatoa wadudu wa ugonjwa wa zinaa na nisiambukizwe?

Hapana, huwezi kuwatoa wadudu wa magonjwa ya zinaa kwa njia ya kuoga baada ya kujamiiana. Wadudu hao hawakai sehemu ambazo unaweza ukawaondoa, wanaingia mwilini moja kwa moja na wanakaa kwenye damu.Mara wakishaingia kwenye damu, inabidi mtaalamu wa kiafya afan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Dawa za kulevya ni nini?

Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuna aina ngapi za dawa za kulevya?

Tunatofautisha dawa za kulevya katika makundi mawili. Zile zinazokubalika na zile zisizokubalika kisheria. Tanzania, dawa za kulevya zinazokubalika kisheria ni pamoja na tumbaku na pombe, pia dawa zilizothibitishwa kwa maandishi na daktari. Dawa zinazotolewa k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya

Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili, wengine hutumia kama viburudisho na wanataka kujionyesha kwamba ni watu wazima na wenye nguvu. Wengine pi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti ya VVU na UKIMWI

Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani β€œHuman Immunodeficiency Virus”. UKIMWI ni kifupi cha maneno matatu ambayo ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Kwa Kii ngereza jina la UKIMWI AIDS amb…

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo

Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa uhakika jinsi zitakavyokuathiri. Madhara ya dawa za kulevya yanategemea aina, kiwango na jinsi zitakavyotumika. Vilevile inategemea na umr…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana?

Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, unaweza kufa ukitumia dawa za kulevya?

Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla aukutokana na madhara ya muda mrefu katika viungo vyandani ya mwili kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Watu wengi hufa katika ajali pale wanapokuwa wana kiasi kikubwa cha kilevi katika damu, kwani wanashindwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini kuna Watanzania wanaovuta bangi?

Sababu mojawapo ni kuwa bangi hulimwa hapa nchini nahivyo hupatikana kwa urahisi. Bangi huuzwa kwa beinafuu kuliko dawa nyingine za kulevya. Vilevile, vijanawengi huwaona wakubwa wao wakitumia na hii huwafanya waone kuvuta bangi ni kitu halali.Sababu nyingine …

Open printable article β†’
πŸ“„

Dawa gani za kulevya ni hatari zaidi?

Kwa ujumla dawa zote za kulevya zinaweza kuwa ni za hatari. Kati ya dawa zilizohalalishwa kisheria nikotini, ambayo i ipo kwenye sigara, ndiyo hasa ya hatari. Inawezekana kuwa umeshakuwa tegemezi kwa sigara. Hii i ii ina maana ubongo wako utaizoea nikotini na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Madhara ya dawa za kulevya yanadumu kwa muda gani?

Ni vigumu sana kujibu swali hili kwa sababu muda wa madhara hutegemea sababu mbalimbali kama vile aina za dawa za kulevya, njia za utumiaji, hali ya mtu na mazingira anapozitumia dawa hizo za kulevya. Mtu anaweza kuanza kutumia dawa za kulevya mara kwa mara i …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?

Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii siyo kweli. Lakini dawa za kulevya nyingine huleta ulemavu wa akili. Hizi ni zile zii twazo vichagamsho kama kokaini na mirungi. Pale zitumiwapo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, inawezekana kuwa ni hatari kutumia Valium au Klorokwini au dawa nyingine ambazo zinapatikana katika maduka ya dawa?

Ndiyo! Dawa yoyote i itakayotumiwa pasipo mahitaji sahihi au kwa kipimo zaidi ya kinachopendekezwa i inaweza kuwa hatari na pengine husababisa kifo. Mara zote sikiliza kwa makini maelekezo yatolewayo na madaktari au wauzaji wa dawa. Usichanganye dawa na pombe …

Open printable article β†’
πŸ“„

Nini matokeo ya unusaji/uvutaji wa petroli kwa vijana?

Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapafu na sehemu zote mwilini.Madhara ya unusaji au uvutaji petroli ni sawa kabisa na pombe. Baada ya kunusa/kuvuta petroli mtuamiaji hujisikia kizunguzungu na kulewa. …

Open printable article β†’