πJinsi mimba inavyopatikana
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengineβ¦
Open printable article βπNi siku gani katika mzunguko wa hedhi yai linapoweza kurutubishwa? Siku za hatari
Yai mmoja hupevuka siku 14 kabla ya hedhi i i inayofuata. Baada ya yai kukomaa ndani ya kokwa la upande wa kulia au wa kushoto, yai husafirishwa kwenye mrija wa kupitisha mayai mpaka kwenye mfuko wa uzazi. Yai likijiunga na mbegu ya kiume ndani ya mrija wa kupβ¦
Open printable article βπNinaweza kupata mimba wakati nipo kwenye hedhi?
Ili mwanamke aweze kushika mimba, i inabidi yai lililopevuka likutane na mbegu za kiume. Yai pevu linapokosa mbegu hufa na kwa vile utando kwenye tumbo la uzazi ulishajiandaa kupokea yai lililorutubishwa hubomoka. Kwa pamoja, yai na utando hutoka kama damu kupβ¦
Open printable article βπInawezekana msichana akapata mimba kabla ya kuvunja ungo?
Msichana anaweza kupata mimba kabla ya kuvunja ungo, yaani kabla ya kuona hedhi kwa mara ya kwanza. Kwa uhakika utajiuliza kwa nini.Kabla ya kuona hedhi, yai ndani ya kokwa linapevuka na kusafiri kutoka kwenye kokwa mpaka tumbo la uzazi. Hedhi yenyewe ni dalilβ¦
Open printable article βπMsichana akijamiiana mara moja tu anaweza akapata mimba?
Msichana anaweza kupata mimba akijamii ana mara moja tu. Inategemea na mzunguko wa hedhi. Kama ndani ya tumbo la msichana lipo yai pevu ambalo ni tayari kwa kurutubishwa, na siku i ileile msichana anajamii ana na mvulana anaweza kupata mimba. Isitoshe, anawezaβ¦
Open printable article βπMama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba?
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) β¦
Open printable article βπWakati wa kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume inayopenya kwenye yai, mbegu nyingine zinaenda wapi?
Ni kweli kwamba wakati wa kujamii ana na kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume i inayopenya kwenye yai. Mbegu zilizosalia hufa na kutoka kwa kupitia ukeni kwa sababu hazina kazi tena. Inashauriwa kwamba watu wanapomaliza kujamii ana, wasafishe vizuri sehemu β¦
Open printable article βπJe, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?
Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba kujamii ana na mwenzi wake. Mfuko wa mimba hufunga kabisa na kifuko kinamzunguka mtoto vizuri, na hivyo hakuna uwezekano wowote wa mbegu za kiumeβ¦
Open printable article βπJe, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupanga kuzaa aina fulani ya mtoto. Tulivyoona juu ni mwanaume ndiye aliye na aina mbili za mbegu. Aina moja husababisha kutokea mtoto wa kike na aina nyingine mtoto waβ¦
Open printable article βπMapenzi salama ni yapi?
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni vitendo vya kumaliza hamu bila uume kuingizwa ukeni. Ngono ya kuingiza uume ukeni inβ¦
Open printable article βπInakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, jinsia ya mtoto i inatokea. Uwezekano wa kumpaβ¦
Open printable article βπNjia za Kuzuia Mimba
Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi: Vizuizi (hizi huzuia mbegu kulifikia yai): Kuna mpira wa kiume (kondomu ya kiume), yaani mfuko wa mpira uliozibwa upande moja. Unavishwa kwenye uume uliosimama kabla ya kuβ¦
Open printable article βπUmri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango
Muda unaofaa kutumia njia ya kupanga uzazi ni wakati unapojamiiana kwa mara ya kwanza. Huu ni wakati mzuri wa kutumia kondomu, kwa sababu kondomu inazuia kupata mimba isiyotarajiwa pamoja na magonjwa ya zinaa.Huu pia ni muda mzuri wa kwenda kliniki ili kupata β¦
Open printable article βπVidonge vya kuzuia mimba vinasababisha vidonda vya tumbo?
Wanawake wengine wanapata vidonda vya tumbo, lakini haya hayana uhusiano na vidonge vya kuzuia mimba. Vyanzo vya vidonda vya tumbo mara nyingi ni maambukizi yatokanayo na msongo wa mawazo, kula vyakula vyenye mafuta mengi na viungo vingi, au kuwa na historia yβ¦
Open printable article βπJe, baada ya kutumia vidonge au sindano kwa muda mrefu, mwamamke akiacha kuzitumia hizo njia ataweza kupata mimba tena?
Vidonge na sindano zinazuia mimba kwa kuzuia yai lisipevuke. Akitumia njia hizi za kuzuia mimba, mwanamke anaona hedhi yake kama kawaida, lakini hakuna yai linalokuwa limepevuka kwa ajili ya kurutubishwa.Mara mwanamke akiacha kutumia vidonge, mayai hupevuka teβ¦
Open printable article β