PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Ulemavu maana yake ni hitilafu katika mwili au akili inayomwekeamipaka mtu asiweze kufanikisha shughuli fulani katika maishayake. Albino wanatambuliwa kama watu wenye ulemavu Tanzaniahasa kwa ajili ya uwezo wao wa kutokuweza kuona vizuri. Daliliza kutokuwa na …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?

Hii ni kweli kabisa. Watu wanaoishi na ualbino ni watu wakawaida kama binadamu wengine wote na wanaweza kuwawa aina tofauti kama binadamu wengine. Wanaweza kuwawadogo au warefu, wanene au wembamba, warembo au wasiowarembo, wenye vipaji au wa wastani. Wanaweza …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini ngozi ya Albino inafanana ya watu weupe?

Ngozi ya Albino ina ukosefu wa rangi. Inaonekana kama ya watuweupe ambao wana kiasi cha pigimenti ndogo. Tofauti na watuweupe ngozi ya Albino haigeuki rangi katika jua kuwa kahawia.Sawa na watu weupe Albino lazima ajikinge na mionzi ya jua kwakuvaa nguo ndefu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Vijana Albino wafanye nini ili kulinda ngozi yao?

Pamoja na matatizo ya kuona, ngozi ya Albino ni rahisi sanakudhurika kwa mionzi ya jua. Hatima yake ikiwa ni uwezekanomkubwa wa kupata saratani ya ngozi. Hivyo basi, kila Albinoanashauriwa daima kujikinga dhidi ya mionzi ya jua kwa kuvaanguo za mikono mirefu, …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?

Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaunguasana baada ya kupatwa na jua na ngozi huwasha na kuuma. Ngoziya Albino inajitahidi kujilinda na mionzi ya jua lakini ina pigimentinyeusi kidogo sana kwa hiyo inatengeneza mabaka meusi1. Kwahiyo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Albino anaathirikaje na unyanyapaa na ubaguzi katika jamii?

Watu wengi huwaona Albino kama watu tofauti na watu wenginena kuwakwepa, wanaweza hata kubadili upande wa barabaraili wasikutane nao au kukaa karibu nao katika daladala. Wengiwanaamini katika uongo na uvumi unaosambazwa. Jamii inawatengakatika matukio mengi na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini jamii inatuchukia sisi Albino?

Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.Wazazi, ndugu zenu, rafiki zenu wanawapenda na kuwajali. Nijambo la kawaida kwa watu wa aina fulani kuwakataa au kuwakwepawale ambao wanaonekana tofauti na wao. Kwa mfano, katika jamiiya watu weupe n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini Albino tunaonekana kama mzigo katika familia zetu?

Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanawezakuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza wakawa wanaombakupewa mahitaji au msaada maalumu tofauti na watu wenginewa kawaida. Wazazi na wanafamilia wengine wanawezakuchukizwa na matamshi wanaotoa watu wengine pamoja…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini Albino hawapewi kazi kwa mtazamo kwamba hawawezi kazi?

Watu wengi katika jamii hawana uelewa unaotosheleza kuhusuulemavu wa ngozi na ulemavu wa macho wa Albino.Hii ndiyo sababu mara nyingi jamii inawatenga ikiamini kuwainawalinda ili wasipatwe na madhara ya ziada. Wanawezavilevile kuwatenga hata kwa kuwazuia kufan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Albino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?

Imani iliyojengeka kwenye jamii kuwa Albino wana uwezomdogo si ya kweli. Ipo mifano mingi ya watu walioweza kupatamafanikio katika maisha ambao pia ni Albino. Wapo ambao niwalimu, wanasayansi, wanasheria, na wengine wapo kwenyesiasa na uongozi.Mbunge wa Lindi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, zipo sheria zinazolinda watu wenye ulemavu hapa Tanzania?

Ndiyo, zipo sheriahapa T a n z a n i az i n a z o w a l i n d awatu wenyeulemavu. Tanzaniailitia saini nakuridhia mkatabawa kimataifa waulinzi, haki nausawa kwa watuwenye ulemavumwaka 2006. Kwakitendo hichocha kuridhiamkataba huo wakimataifa Tanzaniaimeonyesha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, serikali imechukua hatua gani kudhibiti hali hii ya mauaji ya Albino? Tutaishi vipi?

Kifungu cha 14 cha Katiba ya Tanzania kinaeleza kwa ufasahakuwa: β€œKila mtu ana haki ya kuishi na kulindwa utu wake katikajamii kwa misingi ya sheria.” Hata Rais Kikwete katika hotubazake kwa Taifa za kila mwezi amewahi kukemea mauaji hayamwaka 2008 kwa kusema;…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu wanaamini kuwa Albino hawana maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU)?

Imani hiyo si kweli kabisa. Inawezekana ni kupotoshwa kwamakusudi wa ukweli kuhusu jambo hilo kunakofanywa na watuwachache katika jamii ili kuendeleza matendo yao maovu. Watuwanaweza kufuata imani potofu na zisizo na msingi wowote ilikukwepa ukweli kuhusu VVU …

Open printable article β†’
πŸ“„

Watu wanasema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana na Albino. Hii ni kweli?

Watu wanaweza kuvumisha uongo wowote ili kupotoshaukweli na kufanya mambo yao maovu wanayoyapenda. Wapowanaosema kuwa unaweza kupona UKIMWI kwa kujamiiana nabikira, mtu mlemavu au Albino, hizi ni imani potofu na hazinamsingi wowote.Imani hii kuwa kwa kujamiian…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?

Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati yaAlbino na watu wengine katika jamii. Albino wanaweza kupatamaambukizo kama watuwengine, na mahitaji yao ni yaleyale, kijamii, kisakolojia na kiafya.Albino watapewa ARVs kama watu wengine kwa kufuatautara…

Open printable article β†’