PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma

Ukioa mke asiyesoma hata hili unaweza kufanyaKUOA MKE AMBAE HAJASOMA RAHA SANA LEO NIMEMUAMBIA MWEZI HUU HATUTOLIPWA MSHAHARA KWAKUA HAUNA TR 30 KAENDA KUNGALIA KARENDA KARUDI ANANIAMBIA HAMNA SHIDA MME WANGU TUTAVUMILIA TUπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Januari kweli ngumu, soma hii

Januari kweli kibokoHii january sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo, yani unakutana mjini na mtu ana mchicha shingoniβ€¦πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga

Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.πŸ€πŸ½πŸ™ŒπŸ½Mwanamke wa kitanga:Unampa hela anapika vitu mtaa mzima unasikia harufu ya chakula, che…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake

Hili nalo neneo.Ukimuona mbwa🐢 harusini usimpige mawe wala kumfukuza inawezekana kilichomleta pale ndicho kilichokupeleka na wewe hapo

Open printable article β†’
πŸ“„

Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?

MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????BABA: MbeyaMTOTO: Mama nae kazaliwa wapi????BABA: TangaMTOTO: Mimi jee?????BABA: DarMTOTO: Sasa tulikutanaje????πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo wee kama baba ungemjibuje mwanao😳😳😳

Open printable article β†’
πŸ“„

Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni

Fanya hiviUkitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie "NAOMBA CM YAKO NIWASHE TOCHI TAA IMEUNGUA"atakusaidia kumulika mpaka unamaliza kazi zako zooteπŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Je hili ni kweli kuhusu mpenzi maskini na Tajiri?

Siku hizi kudekezwa na kupetiwa petiwa tunawaachia matajiriHakuna mwanamke yupo tayar kulalia kifua cha maskini ambacho moyo unadundaDeni,, Deni,Deni, Deni .πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸšΆπŸ½β€β™‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi Baba na mtoto wanavyoweza kuwaziana

Duh! MaishaIle time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATANi shetani tu anajaribu kucheza na akili zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya babu mzee kuibiwa nauli kwenye daladala

Mzee mmoja alipanda Gari Stend;Wakati wa kugombania Siti,Akaibiwa Nauli.Akasimama katikati ya Gari-Akasema; "Jamani Naomba Aliyeniibia Pesa yangu Arudishe Haraka,Tena Fasta kabla Sijafanya Tukio kama Nililofanya 1977"Abiria kuskia hivyo wakaogopa.Ikabidi Mwizi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hiki ndicho kifo mbele ya Mwanamke

Hiki ndiyo kifo.KIFO NI NINI..Kifo ni pale girlfriend wako anapofanya fujo Club akiwatukana MABAUSA Huku akisema"BABY WANGU HATA HAWAOGOPI"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Open printable article β†’
πŸ“„

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula

Hapa ni shidaKUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, hili nalo ulilipitia ulipokua Shuleni?

Hakuna Kitu Kilikua Kinaniumizaga Kipindi Nipo Shuleni.Time Mmetoka Kwenye Mitihani Wa Mathematics Halafu Mpo Kikundi Fulani Either Mnarudi Nyumbani Au Mnapumzika Kwa Ajili Ya Next Exam.Unasikia Jamaa Wanabishana Pale Jibu Lilikua 4 Mwingine Anasema 5, Na Wewe…

Open printable article β†’
πŸ“„

Raha ya kuoa kijijini

Kuoa vijijini raha sana Hata ukiulizwa unafanya kazi gani ukiwaambia mimi ni admin basi daaaah wanaona wewe ni bonge la bossπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukute

Matatizo ni nini???`Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga kajisaidia kwenye mboga na kaangusha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga

Ndoto zingine bwana usiombe zikupateMimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenye tope .hivyo ikabidi nishuke ili kuisukuma loh! Yani kudadeki ile kuamka nikakuta nimesukuma kitanda hadi sebl…

Open printable article β†’