PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo

LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TU………SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELEπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

Jamaa amkomesha boss wake

Kuna jamaa alifutwa kazi…Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…boss: _mbona waja kunya kwangu?_jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa Wadada wanaotaka kuolewa

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Njia nne za kufikisha Habari kwa haraka

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Haya mawazo ya huyu Mtu kuhusu Shetani ni kiboko

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Jambo la kufanya kama binti alikuachaga zamani na sahizi anakutaka

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng'ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya kijijini haya!

Angalia pombe ilichomfanya huyu jamaa, kweli pombe haimuachi mtu salama

Leo nimeiogopa pombe.Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muziki kwa sauti ya jenereta langu, akidhani yuko club…..nkamsikia anasema "wee dj noomaaaa"Baada ya kuzima jenereta akaniuliza uo mziki kaimba nan?Nlivyokuwa na roho mbaya Ni…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa

πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli nimeamin mitandao inahribu watuLeo kuna jamaa kamuona Dada akipita barabaran kapendeza jamaa kamwendea Dada akamwambia!Dada nice photo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?

Ukiona hivyo ujue ndio hiviMwanaume mwenzangu ukiona unamtext msg msichana WhatsApp kaisoma hajajibu, umetuma ya pili kasoma hajajibu, ukatuma ya tatu hajajibu mmmmmh😨😨 hapo ujue mwenzio kaangalia kwenye profile yako, kakagua picha weee mwishoni akajisemea tu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Hawa ndio wanaume wanaoweza kushinda vishawishi

Wanaume wenye kushinda vishawishi ni;Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugusa nyama nyie ndio mnaweza kushinda vishawishiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri

Haya ndiyo majibu mazuriπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Q: Umenyoa nywele?A: *Hapana, nimebadilisha kichwa.*Q: Hiyo simu umenunua?A: *Hapana nimeitengeneza mwenyewe.*Q: Utakula mboga na nini?A: *Mdomo*(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza) Q: Nimekuamsha?A: *Hapana nilikuwa na…

Open printable article β†’