PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Nilichokifanya kwa rafiki yangu

Nimekuja kwa Rafiki angu kumtembelea kaacha maji jikon yeye kaenda kununua unga. Huku mm nikaongeza maji pale jikon. Kumbe yy aliweka maji saiz ya unga wake peke yke… Sasa hiv TUNAKUNYWA UJI hata hatuongeleshani. Kimbelembele changu kimeniponza.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Mume alichomjibu mchepuko wa mke wake

😎 Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje,Si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, '…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu panya wa tatu ni noma

πŸ€ πŸ€ πŸ€ Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidiPanya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwakwa mtego mara 5 nasijawahi dakwaRAT 3 Mmemaliza? Mie ha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi

πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu…Jamaa ameo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa

Mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahiMimi; kwa nini?Mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguuMimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zariβ€¦πŸ˜πŸ˜πŸ˜naona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki nilichomfanyia boss wangu

Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huu mchezo hautaki makeup

Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu mchezo hautaki mekapu

Open printable article β†’
πŸ“„

Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao

JE WAJUA?Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuis…

Open printable article β†’
πŸ“„

Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani

Upo kwenye chumba cha mtihani,maswalii yamekupiga kinyamaUnaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,Ghagfla lecturer aningia na wewe kwa woga wako unaficha calculator na kuweka simu mezani,Hapo ndo utajua shetani naye alikua…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote

Ndio nilikuwa nimeshuka kwenye basi la SAI BABA pale Ubungo, nina Begi kubwa Mgongoni na begi Dogo la Lap Top mkononi, sura inatazama Mbele Very Serious kama nipo kwenye Gwaride la Uhuru!..Mabega juu yanafanya Cheers na Mawingu!, natembea kwa madoido…..leo nim…

Open printable article β†’
πŸ“„

Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake

Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupambal,aliporudi nyumban alimkuta pakaamekwisharudi,jamaa alikasirika sana.Siku ya 2akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50akapiga chochoro za kutosha kishaakamtupa,akaanza safar ya kurud nyumbanbaada ya muda akam…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia Kiingereza kilivyoniponza

Shikamoo kingereza..!Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole!Price: TSH 44,000/=Nikaagiza!Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na pa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu Jamaa kawaweza polisi kweli

Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma baruaIkisema yan.mwanangu tumapata shida maana shamba halijalimwa na jatujii litalimwaje na msimu ndio huo nataman.ungekuwepo ningepata msaada wa kulimiwa hili shamba…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo

Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.Kwenda na kurudi sh.12,000/=.Wakati wa kurudi nikamwmbia K…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala

Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Smart phone), kukawa na jamaa kasimama pembeni yangu, ye hakupata seat. Sasa akawa anasoma message zangu bila aibu yani anafutilia ninavyochati…Basi nikasema ngoja n…

Open printable article β†’