πKilichotokea nikiiwa namsaidia mtoto home work
Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza "Nina Pipi Tano, nikiwagawia Watoto Watatu, kila mmoja Pipi Mojamoja nabakiwa na ngapi? Anakwambia, "toa Kwanza nizione.."ππππππππππππππππ
Open printable article βπHii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzβ¦
Open printable article βπDuh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida
π§: "Mpenzi, nakuomba uache kulewa"π¨: "poa, na wewe acha kutumia make up"π§: "Mimi napaka make up ili unione mzuri"π¨: "Na mimi nalewa ili nikuone mzuri"Vodka hatareeeππ
Open printable article βπWanawake hii nayo ni romantic ?π
Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?πΈπΈ
Open printable article βπHii ndiyo maana ya matatizo
SWALI: Nini maana ya matatizo..?JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya TuMara ghafla chombo kikagoma kuwaka.!ππππππππ
Open printable article βπEti kwani wewe ni turubali?
Unakuta MTU mwaka MzimaUmehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30,Mikutano kanisani 40, Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman??πππππππππππ
Open printable article βπWanawake wanavyopenda hela, hadi kutoka kwa nyani na ngedere
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesaβ¦Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huuβ¦..Wanavyopenda helaππππππππ
Open printable article βπBaada ya kunitumia SMS usiku ikawa hiviβ¦.
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..Sipendagi kuchezea salioβ¦
Open printable article βπNilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi
Open printable article βπBaada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno
Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????ππππ
Open printable article βπDuh. Chezeya kuhama!
Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga af unakuta umebakiza unit 60 za umeme, inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia chooπ‘π‘π‘π‘π‘
Open printable article βπKilichotokea baada ya kuzamia sherehe
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiyaβ¦sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage!MC : "Papai zuri kabisa kutoka Newβ¦
Open printable article βπUtoto bwana. Raha sana!
Utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwaoπ
Open printable article βπKama simu yako ina wifi
Kama simu yako ina Wi-fi ujue uko na mke wa mtu ππππππππΌππΌππΌππΌππΌ
Open printable article βπHapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interviewπ₯π₯π₯πMy freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa videoππππππππ
Open printable article β