πAngalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti
Dogo kampigia simu baba yake;DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipanikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubetiBABA : Unasema nini we mpumbavu mshenzimkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti?DOGO : Lakini babaBABA : Lakini baba nini ngoja uβ¦
Open printable article βπNilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari
Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yanguππππππ
Open printable article βπHuyu mwanamke kazidi sasa
Jamaa: Mambo honey, upo ok?Mrembo: Sipo ok my dearJamaa: Una tatizo gani baby?Mrembo: Nimetoka hospitali kupima, nna mimba.Jamaa: Weeh usiniletee balaa hiyo mimba imeingiaje wakati huwa tunatumia kinga?Mrembo Kwani nani kakwambia mimba ni yako, hebu tuliza mshβ¦
Open printable article βπAmeniomba nimfungulie akaunt facebook cheki nilichomjibu
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambielazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwβ¦
Open printable article βπEti wanadamu walikuja vipi duniani
Mtoto wa miaka sita alimuuliza babake:MTOTO: Baa, eti sisi wanadamu tulikuja vipiduniani?BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa.Kisha wao wakaanza kuzaa watoto na watotowakazaa mpaka tukazaliwa sisi. (Mtoto hakuridhikaakamfuta mamake)MTOTO: Mma, eti sisi wanβ¦
Open printable article βπKICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku
Ukiona masikin kachinja kuku basi kat ya kuku au yeye kuna mmoja atakua mgonjwa ππππ
Open printable article βπHakuna siku mbaya maishani kama hii
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili πππhapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
Open printable article βπCheki kilichotokea baada ya kufumaniwa
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku!WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!ππππ
Open printable article βπWasichana wafupi wanafurahisha
Wasichana wafupi wananifurahisha sanaβ¦. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx πππππ
Open printable article βπHizi sifa zimezidi sasa
MADEM KWA SIFA..kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamsikia BABY KARIBU TUMEZE DAWA πππ
Open printable article βπHaya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani βͺ
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.
Open printable article βπEx wangu kasema tukapime, cheki nilichifanya
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et"NILIOTEMBEA NAO WOTE MKAPIME"Saizi nipo apa kwa fundi nguo, napimwa kitambaa Harusi sijui lini anapenda kushtukiza huyu
Open printable article βπTofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing companyπππ
Open printable article βπWazo la asubuh - penzi la kuku
Wazo la asubuiπPenzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao.Lakini binadamu masaa kibao mtoto 1 au 2. Sasa binadam na kuku nani JEMBE? Ukimwona JOGOO popote piga SALUTI!ππππππππukinuna poa tu!!!!!ππππππππππππππ
Open printable article βπSitasahau mwaka huu
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua kβ¦
Open printable article β