PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Angalia huyu mvulana anachomwambia huyu daktari baada ya rafiki yake wa kike kupata ujauzito

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bund…

Open printable article β†’
πŸ“„

Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti

Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?Miaka 26: Wenzio wanaolewa.Miaka 30: Tumekuambia kwamba achakuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kulean…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?

"MAENEO FLANI ya KISHUA"-Mshikaji kamwona demu mkalianakatiza kitaa akamkubali akaamuaamfuate amtemee checheMSHIKAJI- mambo dada?DEMU- pouwaMSHIKAJI-umependezaa!!!DEMU- asante.MSHIKAJI- unaweza ukanisaidianambayako ya simu……..maana duhnmekukubalikinyama.Demu b…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tabia za wachepukaji

WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.2.Inbox na sending items hufutwa kilawakati.3.Ukimuomba simu yake ghafla lazimaakwambie hebukwanza…….4. Kamwe haiiti always vaibration.5. Namba nyingi ha save.6. Kuna simu hapokei hataiwe…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hali za ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itab…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Marafiki wawili (Jose na Ben) walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu.Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo:Ben: Muone yule mrembo amenirushia busuJose: tafadhali achana na huyo mwan…

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unaf…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa

Wazazi wengine wanaandika MBWA​MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Open printable article β†’
πŸ“„

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika

HABARI MPASUKO..jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurud…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wadada acheni hizo

Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka(cheated)na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako unamfumania na kimada mmoja tu ugomvi na amani imapotea ndani ya nyumba,unasimulia kuanzia padri,mchungaji,ukoo wako mzima,mashoga, stress,vidonda vya tumbo,inapele…

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

MKE NA MCHEPUKO.Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.Tv ni kubw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu jamaa anavyojiona msomi, huyu kamuotea, hapa amekwama

USIJIONE MJUAJI SAAAA…NA.Jamaa kamaliza chuo anarudi nyumbani kwa wazee, kufikanyumbani.kwa furaha waliopata wazazi, mama aliamuakurosti kuku WAWILI(2) kwa ajili yao.Mezani jamaa akataka kuwadhihirishia kuwa yeye ni msomi,akawaambia "hawa kuku unaona wako wawi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia anachokisema Madenge sasa

MWALIMU kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame".MADENGE akasimama peke yake.MWALIMU: Wewe ndio mjinga?MADENGE: Hapana, ila nimeona umesimama peke yako nikaona usijisikie vibaya angalau tuwe wawili.

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize.Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimuMwalimu: (huku ana hasira akauliza)Mbali mbinguni?Mwanafunzi: Mbinguni…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mimi ndio nimeelewa hivi!

Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, "Never trust women"Nikajua huyu mtu lazima alikuaga na Range RoverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’