πNdege ya Tanzania
Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isβ¦
Open printable article βπSafari ni safari
FUNDISHO : SAFARI NI SAFARIMaisha ni ya ajabu sana, wakati mwingine maisha ni mazuri na mwingine ni mabaya, katika maisha yetu tumeshapitia safari nyingi sana na za aina mbalimbali kwa nyakati mbalimbali. Lakin kiukweli kila safari ni safari tuu.Japokua kila sβ¦
Open printable article βπCheka kidogo, angalia anachosema huyu mchaga
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi?MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee.MALAIKA: Kwa nini?MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitaβ¦
Open printable article βπNjia 3 rahisi za kuondoa kitambi
JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa?FANYA HAYA;1. Kopa mkopo mkubwa benki2. Nunua gari bovu la biashara3.Oana na mke mwenye kelele.Ukiona miezi mitatu hakijaisha basi ujue umevimba BANDAMA sio kitambi..
Open printable article βπUtani wa wahindi, cheka kidogo
Mhindi afaulu mtihani wa Kiswahili(1) Mfa maji ?β¦β¦β¦β¦β¦β¦.. Tampa life jacket.(2) Mwenda pole?β¦β¦β¦β¦ Tachelewa fika.(3) Usipoziba ufa ?β¦β¦β¦.. Mizi taona mpaka dani.(4) Usilolijua ?β¦β¦β¦β¦β¦β¦ Uliza google.(5) Mbio za utelezini ?β¦β¦. Chafua guo yako.(6) Ukipenda boga ?β¦β¦β¦ β¦
Open printable article βπUngekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi?
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?ROSE: Natakaβ¦
Open printable article βπMisemo ya kina dada
Misemo ya kina dadawalianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiriii!Ikatoka nyingine nishiiiiida!Unaijua iliyotoka Leo?Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini?
Open printable article βπUnakumbuka hizi enzi za utoto?
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika1. UGALI NA KUNDEMwitaji : π£JoniiiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Uje ukule2. UGALI NA SAMAKIMwitaji: π£ we JoniiiiMwitikiaji : EeehMwitaji : Unaitβ¦
Open printable article βπKilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?MKAKA: Samahani sanaβ¦.jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simuβ¦.aise saa ngapi saa β¦
Open printable article βπMisemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa naβ¦
Open printable article βπHuyu bibi kweli kiboko, cheki alichofanya akiwa na babu
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani. Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale. Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/= Wale wβ¦
Open printable article βπAskari na yeye kumbe muoga, cheki anachomjibu afande
Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikutaASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza vibaya sanaa AFANDE: Kha! kisa mkasa mpk akafanya hivyoASKARI:β¦
Open printable article βπHuyu jamaa kawaweza polisi watatu, cheki alichowaambia
Polisi::: hodi, hodiJamaa::: kimyaPolisi::: hodi, hodiJamaa::: we nani kwani?Polisi::: sisi polisiJamaa::: mnataka nini? Polisi::: kuongea na weweJamaa::: kuongea na mimi?!Polisi::: ndioJamaa::: mko wangapi?Polisi::: tuko watatuJamaa::: kama mko watatu si muonβ¦
Open printable article βπAngalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya
Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!? Mama: Hapana mwanangu sijakuona. Mtoto: Kwahiyo ulivyonizaa ulijuaje kwamba ni mimiβ¦!??
Open printable article βπHuyu jamaa bonge la bwege, ungekua wewe ndiyo rafiki ake ungemwambiaje?
RAFIKI: Vipi mbona leo huna uchangamfuJAMAA: Wanawake bwana, mwanamke hata umpendeje atakugeuka tuRAFIKI: Nini tena ndugu yangu? Mbona shemeji mtu fresh sanaJAMAA: Hata mimi nilikuwa najua hivyo, leo nimegundua kumbe ana siri kubwa sanaananificha, mi naita huuβ¦
Open printable article β