PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Cheki kilichonipata sasa, ungekua wewe ungefanyaje?

Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na mtoto mmoja mkali balaa yaani ni mzuri sanaaaa, moyo ukanituma nimuimbishe mtoto akakubali kwamba nitafute siku tukae tuongee vizuri akasema nimpe namba yangu ya simu. Ebwana si akatoa simu hiyo inauzwa laki sita m…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa

Jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuullza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu: "kinach…

Open printable article β†’
πŸ“„

Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; "chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE". Unaf…

Open printable article β†’
πŸ“„

BREAKING NEWS: WAZIRI ANASWA KOFI

Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake.

Open printable article β†’
πŸ“„

Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili

MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on MondayMSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu baba alichowafanya mtoto wake wa kike na boyfriend wake

BABA OYEEEEEEπŸ’ͺπŸ’ͺSoma hii…Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANA friend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambia hivi:-MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa "DADDY IS AT HOME?" by Ngoz…

Open printable article β†’
πŸ“„

Faida 3 za uvutaji wa sigara

Ni hizi1. Mvuta sigara hazeeki2. Mvuta sigara haumwi na mbwa3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwiziUFAFANUZI1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu2. Haumwi na mbwa kwa vile kifua na mapafu yanapooza na hulazimika kutembea na bakora3. Nyumbani k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!

Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.5. Baba alienda ku buy ngombe a…

Open printable article β†’
πŸ“„

SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy

Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…β€¦

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe

Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladalajamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka.

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini watu hawapendi hesabu!! Sababu hii hapa!

Sababu ni hiiAL-SHABABAL-QAEDAKwenye MATHEMATICS pia kuna kundi linaitwa"AL-GEBRA"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»πŸšΆπŸ»Kumbe ndo maana wengine hawapendi hesabu coz kuna element za ugaidi

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu dogo nimsaidieje? Cheki alivyojichanganya

Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!..NA PESA ZOTE ANAZO …

Open printable article β†’
πŸ“„

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!!

1. Awe na pesa nyingi2.Siyo lazima awe mzuri wa sura3. Ajenge ukweni4.Awe mpole5.Asimuonee wivu mke wake6.Awe mwenye upendo wa dhati7.Asishike simu ya mke wake.8.Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani9.Awe anamskiliza mke wake kw…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia mtoto alivyowaumbua Baba na mama yake

DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke NaAkaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib…BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu AlafuWakafanya Nini Hawa Nguruwe… DOGO: Wakanza Kufanya Kama …

Open printable article β†’