πMaswali na Majibu kuhusu Marehemu
Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29) Baada ya kifo cha mtu nini hutokea? Baada ya kifo rohoβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Ibada ya Misa
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani? Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Mitume
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani? Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku ya Pentekoste, yaani siku ya hamsini toka Pasaka. (Mdo 2:1-4) Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume? Roho Mtakatifu aliwatia Mitume Mwanga wa nguvu ili waweze kuhubiri Injili β¦
Open printable article βπMaswali na majibu kuhusu Mpako wa wagonjwa au Mpako wa Mwisho
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani? Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwiβ¦
Open printable article βπMafundisho kuhusu Binadamu, Mtu na Utu
Mungu alisema nini alipotaka kumuumba mtu? Mungu alipotaka kumwumba mtu alisema; "Tumfanye mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu" (Mwa 1:26-27) Mtu ni nani? Mtu ni kiumbe chenye mwili na roho kilichoumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. (Mwa 1:26) Tumeumbwa kwa suraβ¦
Open printable article βπMambo ya Muhimu kufahamu kuhusu Mungu
Je, Yatupasa kumtolea Mungu shukrani? Ndiyo, Yatupasa kumtolea Mungu shukrani kila wakati hasa kwa kuadhimisha Ekaristi Takatifu Nani ameumba vitu vyote? Mungu ameumba vitu vyote Mungu ni nani? Mungu ndiye muumba wa kila kitu katika uwingu na nchi, Mkubwa wa uβ¦
Open printable article βπMambo ya Msingi kufahamu kuhusu Ndoa ya Kikatoliki
Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani? Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu hazilengi hasa faida ya mtu anayezipokea, bali huduma zake kwa ajili ya Kanisa na jamii. Daraja inatia uwezo wa Kristo kwa ustawi wa Kβ¦
Open printable article βπMafundisho ya Msingi kuhusu Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala? Roho Mtakatifu ndiye Mlezi wa ndani wa sala ya Kikristo Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni nini? Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni kusadiki kwa nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu Majina mengine ya Roho Mβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Sala
Sala ni nini? Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Kuongea maana yake ni kusema na Kusikiliza. Sala sio kuongea tuu, sala ni kuongea na kusikiliza. Mungu anatualika tuongee nae kwa kusema na kusikiliza. Kwenye Biblia tunasoma Hivi; βNiite, nami β¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Sanamu katika Kanisa Katoliki
Je sanamu zimekatazwa? Sanamu hazijakatazwa, ila tunaziheshimu kwa sababu zinatukumbusha Mungu na Watakatifu. (Kut 25:18-22). 18 Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku. 19 Weka keruβ¦
Open printable article βπKuhusu Ubatizo, Haya ndiyo mambo ya Msingi unayotakiwa kufahamu
Kwa nini ubatizo unafanyika kwa maji? Ubatizo unafanyika kwa maji kwa kuwa ndiyo ishara ya usafi na ya uhai unaotupatia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. βNami nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi; nitawatakaseni na uchafu wenu wote, na vinyago vyenu vyoteβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Ufufuko wa wafu
Ufufuko wa wafu maana yake nini? Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29) Mbinguni ni mahali pa namna gani? Mbinguni ni makao meβ¦
Open printable article βπAmri ya Tisa ya Mungu: Mambo inayokataza na inayoamuru
Katika Amri ya Sita na Tisa Mungu ametuamuru nini? Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa.
Open printable article βπAmri ya Sita ya Mungu: Kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu
Katika Amri ya Sita na Tisa Mungu ametuamuru nini? Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa. Usafi wa Moyo ndio nini? Usafi wa Moyo ni fadhila ya kiutu, zawadi ya Mungu, neema na tunda la Roho Mtakatifu. Kwa sababu gani yatupasa kuwβ¦
Open printable article βπUpendo wa Mungu: Hazina Isiyoweza Kulinganishwa
Upendo wa Mungu ni hazina isiyoweza kulinganishwa na kitu chochote. Ni upendo wenye nguvu na wa kudumu ambao Mungu ameweka ndani yetu. Upendo huu umetolewa bure, na hakuna kitu tunachoweza kufanya ili kupata upendo huu isipokuwa kupokea. Hapa kuna mambo kadhaaβ¦
Open printable article β