πMASOMO YA MISA, MEI 24, 2023: JUMATANO YA 7 YA PASAKA
SOMO 1 Mdo 20 : 28-38 Paulo aliwaambia wakuu wa kanisa ya Efeso: Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. Najua mimiβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA, MEI, 28, 2023: SHEREHE YA PENTEKOSTE
SOMO 1 Mdo. 2:1-11 Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za motoβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA, JUNI 11, 2023: SHEREHE YA MWILI NA DAMU TAKATIFU YA BWANA WETU YESU KRISTU
SOMO 1 Kum. 8:2-3;14-16 Musa aliwaambia makutano: Nawe utaikumbuka njia ile yote Bwana, Mungu wako, aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa, ili akutweze, kukujaribu, kuyajua yaliyo moyoni mwako, kwamba utashika amri zake, au sivyo. Akakutweza, akakuachβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA, JUNI 04, 2023: SHEREHE YA UTATU MTAKATIFU - Jumapili baada ya Pentekoste
MWANZO: Asifiwe Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu; kwasababu ametufanyizia huruma yake. SOMO 1 Kut. 34 : 4-6, 8-9 Musa aliinuka na mapema asubuhi, naye akakwea katika mlima wa Sinai, kama Bwana alivyomwamuru, akazichukua hizo mbao mbili za mawe mkononi mwaβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA, JUNI 18, 2023: JUMAPILI, JUMA LA 11 LA MWAKA
SOMO 1 Kut. 19 :2-6 Waisraeli walipokuwa wameondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, wakatua katika lile jangwa; wakapiga kambi huko wakiukabili mlima. Musa akapanda kwa Mungu, na Bwana akamwita toka mlima ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaaβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUMAPILI, JULAI 2, 2023: DOMINIKA LA 13 LA MWAKA
MWANZO Zab. 47:2 Enyi watu wote, pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe. SOMO 1 2 Fal 4:8-11,14-16 Ilikuwa siku moja, Elisha alikwenda Shunemu; na huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo; nave akamshurutisha aje ale chakula. Ikawa kila aβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUNI 25, 2023: JUMAPILI YA 12 YA MWAKA
SOMO 1 Yer. 20 : 10-13 Nimesikia mashutumu ya watu wengi; hofu ziko pande zote. Rafiki zangu wote wanaonivizia nisite, husema, Mshitaki, nasi tutamshitaki; huenda akahahadaika; nasi tutamshinda, tutajilipiza kisasi kwake. Lakini Bwana yu pamoja nami, mfano wa β¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUMAPILI, AGOSTI 20, 2023: JUMA LA 20 LA MWAKAΒ
SOMO I Isa. 56:1, 6-7 Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatenda haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina la Bwana, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivβ¦
Open printable article βπJUMAPILI YA 19 YA MWAKA A: MASOMO YA MISA AGOSTI 13, 2023
Somo la Kwanza 1Fal 19:9, 11-13 Eliya alifika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la Bwana likamjia. Akasema, Toka, usimame mlimani mbele za Bwana. Na tazama, Bwana akapita; upepo mwingi wa nguvu ukaipasua milima, ukaivunjavunja miamba mbele za Bβ¦
Open printable article βπMASOMO YA MISA,Β JUMAPILI, AGOSTI 27, 2023: JUMA LA 21 LA MWAKA
SOMO I Isa. 22:19-23 Bwana, Bwana wa majeshi, asema hivi: Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo. Na itakuwa katika siku ile nitamwita mtumishi wangu Eliakimu, mwana wa Hilkia; nami nitamvika vazi lako, nitamtia β¦
Open printable article βπDaima Tunakumbushwa kuungama dhambi zetu hata kama ni ndogo kiasi gani
Kulikuwa na vijana wawili walioamua kwenda kwa padri kumwelezea shida zao.Basi walipofika kwa yule padre, wakamwambia padre, " samahani padre tuko hapa mbele yako kwa kuwa tumejisikia kuwa ni wadhambi ha hivyo tunahitaji kuungama. Basi wakwanza akamwambia padrβ¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Kanisa Katoliki
Sala ya kanisa ni nini? Sala ya kanisa ni sala maalumu wasaliyo Maklero, Watawa, na Walei kwa ajili ya Kanisa zima Vyanzo vya sala za Kikristo Vyanzo vya sala za kikristo ni; 1. Neno la Mungu2. Litrujia ya kanisa3. Fadhila za Kimungu4. Matukio ya kila siku Je,β¦
Open printable article βπMaswali na Majibu kuhusu Karama
Je, karama ni zile za kushangaza tu? Hapana, karama si zile za kushangaza tu, tena zile muhimu zaidi si hizo, bali zile zinazojenga zaidi Kanisa, kama zile za uongozi: βMungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kiβ¦
Open printable article βπMaswali yanayoulizwa sana na Wakristu wa Madhehebu wengine kuhusu Wakatoliki na Imani yao
Vyanzo vya sala za Kikristo Vyanzo vya sala za kikristo ni; 1. Neno la Mungu2. Litrujia ya kanisa3. Fadhila za Kimungu4. Matukio ya kila siku Je, ni sahihi kusali sala kwa kurudia rudia mfano Novena? Ndiyo, Hii ni kwa sababu sala nyingi za kurudia ni za Ahadi β¦
Open printable article βπAmri ya Saba ya Mungu: Usiibe - Tambua mali ya mtu na kuheshimu
Je, Amri ya Saba ya Mungu inafundisha nini? Amri ya saba ya Mungu inafundisha kuitambua mali ya mtu na kuiheshimu. Mali ya mtu ni ipi? Mali ya mtu ni ile aliyoipata kwa njia halali yaani kwa haki. Lengo la mali ya binafsi ni lipi? Kutosheleza mahitaji yake mtuβ¦
Open printable article β