PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA BWANA YESU KATIKA EKARISTI

Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/ ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea kwa ajili yangu,/ nashindwa kuelewa./ Unaficha Ukuu wako usiofahamika/ na kujidhihirisha kwa ajili yangu mimi mnyonge./ Ee Mfalme wa utukufu,/ unaficha uzuri wako,/ lakini jic…

Open printable article β†’
πŸ“„

Matendo ya Rozari Takatifu: Mchanganuo kwa siku zote za Saba za Juma

MATENDO YA FURAHA (Jumatatu na Jumamosi) Tendo la kwanza; Malaika Gabrieli anampasha habari Maria kuwa atakuwa Mama wa Mungu. Tumwombe Mungu atujalie unyenyekevu.Tendo la pili; Maria Mtakatifu anakwenda kumtembelea Elizabeti. Tumwombe Mungu atujalie mapendo ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE 1

Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwemaKwa ajili ya warithi wa Mitume; Bwana, uwape wawe na uangalifu uliojaa upendo kwa mapadre waoKwa ajili ya Maaskofu wako waliochaguliwa na Roho Mtakatifu; Bwana, uwabakishe karibu n…

Open printable article β†’
πŸ“„

SALAMU MARIA

Salamu MariaUmejaa neemaBwana yu naweUmebarikiwa kuliko wanawake woteNa Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwaMaria MtakatifuMama wa MunguUtuombee sisi wakosefuSasa, na saa ya kufa kwetu.Amina.

Open printable article β†’
πŸ“„

LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE II

Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwemaKwa ajili ya makardinali na maaskofu wakuu; Uwape moyo wa kichungaji ee BwanaKwa ajili ya mapadre wa majimbo; Uwajaze na Roho wako ee BwanaKwa ajili ya mapadre watawa; Wakamilishe …

Open printable article β†’
πŸ“„

Kumbuka ee Bikira Mwenye Rehema

KUMBUKA Kumbuka ee Bikira mwenye rehema, haijasikika kamwe kwamba ulimwacha mtu aliyekimbilia ulinzi wako, akiomba msaada wako, akitaka umwombe. Nami kwa matumaini hayo, nakukimbilia ee mama, mkuu wa mabikira, ninakuja kwako, ninasimama mbele yako, nikilalamik…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mungu ni mwenye Huruma

Mungu ni mwenye Huruma na Upendo na Anataka watu wote waokolewe naye. Mungu hayupo kwa ajili ya kukuhukumu bali kwa ajili ya kukuhurumia na kukurehemu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Tumaini kwa Mungu

Mtumainie Mungu kwa maana Mungu hawatupi wale wamtumainiao na kumgoja. Mkono wake upo tayari kwa ajili ya kuwaokoa wale wanaomwelekea.

Open printable article β†’
πŸ“„

Mafundisho ya amani

Ukitaka kupata amani, tumaini katika Ahadi za Mungu. Ahadi ya Mungu ni hii "Hatoacha kutusaidia wala kututupa".

Open printable article β†’
πŸ“„

Upendo wa siku zote

Upendo wa siku zote huo ndio upendo atakao Mungu. Chuki na unafiki ni tabia ya Shetani, umoja ni tabia ya Mungu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Umuhimu wa kumsogelea Mungu

Vile unavyomsogelea Mungu ndivyo na yeye anavyokusogelea. Vile unavyomkubali Mungu katika Maisha yako ndivyo na yeye anavyotenda kazi kwako.

Open printable article β†’
πŸ“„

Upendo wa Mungu

Upendo wa Mungu hauna kikomo. Mama anaweza kumchoka na kumtelekeza mwanae lakini Mungu kamwe hamchoki mtu.

Open printable article β†’
πŸ“„

Uwepo wa Mungu wakati wa shida

Kwa kawaida kwenye maisha unapofikia Hatua unaona Mungu hayupo kabisa na wewe basi ujue huo ndio wakati ambao Mungu yupo karibu na wewe zaidi.

Open printable article β†’
πŸ“„

Upendo na Matamanio ya Mungu kwa Wanadamu

Kama vile Baba anavyotamani mwanae akue katika maadili na aelekee katika njia nyoofu. Ndivyo na Mungu anavyotamani uachane na dhambi na kumfuata yeye.

Open printable article β†’
πŸ“„

Uzuri wa Mungu

Uzuri wa Mungu ni kwamba anasamehe na kisha anasahau. Unapotubu dhambi zako na kutaka huruma zake yeye anakufutia uovu wote na kukufanya mpya.

Open printable article β†’