πSALA YA BWANA: SALA YA BABA YETU
Baba yetu uliye mbinguniJina lako litukuzweUfalme wako ufikeUtakalo lifanyikeDuniani kama mbinguniUtupe leo mkate wetu wa kila sikuUtusamehe makosa yetuKama tunavyowasameheNa sisi waliotukoseaUsitutie katika kishawishiLakini utuopoe maovuni.Amina.
Open printable article βπSALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFUEe Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika Sakramenti Takatifu ya Altare;/ pokea kitendo hiki cha kukuangukia kifudi fudi/ kama ishara ya tamaa niliyonayo ya kukuaβ¦
Open printable article βπSALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI
Ewe Mtakatifu Yuda Tadei,/ mtume mtukufu na shahidi wa Kristo,/ umesifika pote kwa wepesi wako wa kutoa misaada/ kwa wanaokukimbilia katika matatizo yao mazito./ Pia ni mwombezi wa waliopondeka moyo./Mimi ni mmoja wa hao./ Nakujia na moyo uliojaa shida na mataβ¦
Open printable article βπSALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU I
Utukuzwe ee Bwana wangu Yesu Kristo./ Uliagua kifo chako./ Katika karamu ya mwisho ulitumia mkate wa kidunia/ ukafanya mwujiza na kuugeuza/ kuwa Mwili wako azizi./ Kwa mapendo ukawapa Mitume Mwili huo/ uwe kumbukumbu la mateso yako mastahivu./ Uliwaosha miguu β¦
Open printable article βπSALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA
Kwa njia ya Maji haya ya Baraka,na kwa njia ya Damu yako azizi,na kwa maombezi ya Moyo Safi wa Maria,unioshe na uovu wangu wote na uwasaidie roho zinazoteseka toharani. Amina.
Open printable article βπAMRI ZA KANISA
1. HUDHURIA MISA TAKATIFU DOMINIKA NA SIKUKUU ZILZOAMRIWA2. FUNGA SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU; USILE NYAMA SIKU YA IJUMAA KUU3. UNGAMA DHAMBI ZAKO WALAU MARA MOJA KILA MWAKA4. POKEA EKARISTI TAKATIFU HASA WAKATI WA PASAKA5. SADIA KANISA KATOLIKI KWA ZAKA6. SHIKβ¦
Open printable article βπSALA YA MAJITOLEO KWA MAMA WA HUZUNI
Mama Mtakatifu, Mama wa Mungu na Malkia wa Mashahidi, leo nakuchagua Wewe uwe mfano wangu, mkingaji na mteteaji wangu. Naweka roho fukara katika moyo wako uliotobolewa na panga nyingi za mateso. Unipokee mimi niwe mtumishi wako wa pekee na mshiriki wa mateso yβ¦
Open printable article βπSALA YA MATUMAINI
Mungu wangu,natumaini kwako nitapewa kwa njia ya Yesu Kristu,neema zako duniani na utukufu mbinguni,kwani ndiwe uliyeagana hayo nasi,nawe mwamini. Amina
Open printable article βπMajitoleo ya Asubuhi
Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu, Ninakushukuru kwa moyo, Ee Baba, Mwana na Roho, Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii, Naomba sana Baba wee, Baraka yako nipokee, Bikira safi ee Maria, Nisipotee unisimamie, Mlinzi Mkuu Malaika wee, Kwa Munβ¦
Open printable article βπROSARI YA BIKIRA MARIA MAMA WA MSAADA WA DAIMA
Namna ya kusali Rozari kwa Bikira Maria Mama wa Msaada wa Daima(Tumia rosari ya kawaida)Mwanzo, kwenye Msalaba:Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.Kwenye chembe ndogo za awali:K: Ee Mungu utuelekezee msaada W: Ee Bwana utusaidie himaW: Atuβ¦
Open printable article βπSala ya Baba Yetu: Sala ya Bwana
Baba Yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe;ufalme wako ufike,utakalo lifanyikeduniani kama mbinguni.Utupe leo mkate wetu wa kila siku,utusamehe makosa yetu,kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.Usitutie katika kishawishi,lakini utuopoe maovuni.Amina
Open printable article βπSALA KWA MTAKATIFU YUDA TADEI
Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ Jina la yule msaliti aliyemwuza Yesu/ limewafanya wengi wakusahau./ Walakini Kanisa zima linakuheshimu/ na kukuomba kama Msaidizi katika mashaka makubwa,/ na katika mambo yasiyo naβ¦
Open printable article βπNovena ya Siku tisa kwa Mtakatifu Agustino wa Hippo: Sala zote na Litania
Anza Novena hii tarehe 19 Agosti ili kumalizia tarehe 27 Agosti na kusheherekea tarehe 28 Agosti, Sikukuu ya Mtk. Augustino wa Hippo. SIKU YA KWANZA β kutafuta ukweli β kweli ni nini? Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina TafakariPamoja na Mβ¦
Open printable article βπROZARI YA MATESO SABA YA BIKIRA MARIA
Tumia Rozari ya Mateso Saba ya Bikira Maria iliyo na mafungu 7 yaani mateso 7 yenye Salamu Maria saba kwa kila teso.TESO LA KWANZAMzee Simeoni aliagua kuwa Moyo wa Mama Maria utachomwa kwa upanga.Tuombe neema ya kuvumilia mateso.Mama wa mateso utuombee.Baba Yeβ¦
Open printable article βπLITANIA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utuhurumie Kristo utuhurumieBwana utuhurumie Bwana utuhurumieKristo utusikie Kristo utusikilizeBaba wa mbinguni Mungu UtuhurumieMwana, Mkombozi wa dunia Mungu UtuhurumieRoho Mtakatifu Mungu UtuhurumieUtatu Mtakatifu Mungβ¦
Open printable article β