PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Mambo yanayowazuia Waumini na Watumishi wa Mungu Kufikia Ukamilifu na Utakatifu

Leo nimekuandalia Tafakari kuhusu Mambo yanayowazuia Waumini na watumishi wa Mungu Kuishi Kitakatifu na kufikia Ukamilifu. Mambo haya yanaweza yakaonekana sio dhambi au makosa kwa mtu lakini ni vikwazo kwa mtu kufikia Ukamilifu hasa anaposhindwa kuyajua na kuy…

Open printable article β†’
πŸ“„

Siri ya Kuwa na Amani ya Moyoni au Rohoni

Utangulizi Amani ya Moyoni au Rohoni ni hali ya kutokua na wasiwasi na hofu moyoni kuhusu Mambo ya Rohoni na ya kidunia. Ili kuwa na Amani ya Moyoni unatakiwa uishi kwa kutimiza wajibu wako wa kiroho na kidunia kama inavyotakiwa na kwa uwezo wako wote, Huku uk…

Open printable article β†’
πŸ“„

Maana ya kuushinda ulimwengu

Kuushinda ulimwengu ni Kuushinda mwili na akili, Ni kuweza kutenganisha mwili, akili na Roho yako. Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukijua moyoni mwako Roho Wa Mungu yupo na anafanya kazi. Ukishindwa kutenganisha akili…

Open printable article β†’
πŸ“„

Nguvu na Umuhimu wa Upendo

Utangulizi Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine Upendo ni Amri kubwa kuliko zote Upendo ni Utimilifu wa Sheria Upendo ni Utakatifu Upendo ni Ukamilifu Upendo unazaa umoja Upendo unadumisha Amani Upendo ni Kila Kitu Nguvu na Umu…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya Msingi Sana Kuhusu Kusali na Kuomba

Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini Mungu yeye anasikia Sala zetu zote na kuzijibu zote. Mungu hujibu na kutupa kile kilicho muhimu na kizuri kwetu…

Open printable article β†’
πŸ“„

TAFAKARI KUHUSU NAFASI YA MATESO NA SHIDA KATIKA MAISHA

Ni kwa nini tunapata Mateso na shida katika Maisha? Kwa nini Mungu ameruhusu tuteseke? Mungu hapendi mtu Ateseke lakini ni kwa njia ya ya Mateso mtu anaweza akapimwa IMANI yake, UNYENYEKEVU, UTII na Matumaini yake kwa Mungu. Mateso na shida katika maisha ni na…

Open printable article β†’
πŸ“„

Yafahamu Mawazo na Mipango ya Mungu Kwako

Utangulizi Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema. Kama mtu ataenda katika njia ambayo Ipo katika mipango na mapenzi ya Mungu basi atapokea yale mema Mungu aliyopanga Kwake. Lakini kama mtu ataishi kwa kufuata mapenzi yake mwenyewe basi atapotez…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mipango ya Mungu kwetu sisi wanadamu

Utangulizi Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisha kukosa yale mema Mungu aliyopanga kwao. Sio kila jambo jema unalofikiri kulifanya ni j…

Open printable article β†’
πŸ“„

Siri ya Yesu: Mwangaza Wa Maisha

Siri ni hii, Yesu ni Mwanga na Uovu ni giza. Giza na Mwanga havichangamani. Yesu hakai pamoja na uovu. Giza haliwezi kuzidi Mwanga. Uovu hauwezi kumzidi Yesu. Mwanga ukija giza linaondoka. Yesu akija uovu unakwisha. Kujikabidhi Kwa Yesu Kristu Yeye Aliye Mwang…

Open printable article β†’
πŸ“„

Unafahamu kuwa Imani ni Cheti cha Kuweza Kupata Yote?

Utangulizi Imani ni kuwa na uhakika hata kwa mambo yasiyoonekana na yasiyowezekana. Ni kujua au kutarajia kwa uhakika kwa mambo ambayo bado hayajawa bayana (wazi) kuwa yapo au yatafanyika. Kwa Imani Kila Kitu Kinawezekana. Kwa Sala na kwa Matendo. Yesu Kristu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Tafakari Upendo Mkuu wa Mungu kwa Mwanadamu

Utangulizi Mungu alimpenda sana binadamu hata akauvaa Mwili wa Binadamu akashuka duniani na kuishi kama Binadamu ili amkomboe Mwanadamu na hata akaamua kufa kwa ajili ya Binadamu kwa malipizi ya dhambi za Binadamu na kwa maondoleo ya dhambi. Je, ni Kitu gani a…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hii Ndiyo Namna Pekee ya Kuwa na Amani Katika Maisha Yako

Utangulizi Namna pekee ya kuwa na Amani ni kuishi Mapenzi ya Mungu, Kwa njia hii Moyo wako hautafadhaika, hautayumbishwa na hautajuta kwa kuwa utakua upo katika njia ya Mungu na njia ya Mungu haina Majuto kwa kuwa ni njema. Njia zetu zinakua na Majuto kwa saba…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?

Utangulizi Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa Kwa hiyo, tunasali kumuomba Mungu …

Open printable article β†’
πŸ“„

Karibu Ujitafakari: Kwa nini Unasali na Kumuabudu Mungu? Jifunze Kitu Hapa

Utangulizi Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu! Je unasali kwa hofu ya kutokua na uhakika na maisha? Je unasali kwa sababu ya shida na matatizo katika maisha? Je unasali kwa kuwa unaona wengine wanasali kwa hiyo unafikiri na wewe lazima usali? Je…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mungu Anakuita Na Kukupa Nafasi Ya Kutubu Na Kumrudia Yeye Ili Akusamehe na Kukubariki

Ingekuwa heri leo msikie sauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu. Zab 95:7-8 Tunaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Mioyo yetu yote na kwa nia dhabiti. Mungu ni mwaminifu, atatusamehe dhambi zetu na kutufanya kuwa wapya. Dawa ya dhambi ni kutubu na kusamehewa.…

Open printable article β†’