πMungu ni Mwenye Haki, Mpenda Haki, na Mtenda Haki
Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye ataipigania haki yako. Melkisedeck Leon Shine Mungu ni Mwenye Haki, Mpenda Haki, na Mtenda Haki Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki, na yeye ataipβ¦
Open printable article βπMwenendo Unaongozwa na Roho Mtakatifu
Basi, nasema hivi: Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya Roho; na matakwa ya Roho hupingana na Tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamuwezi kufanyβ¦
Open printable article βπMakusudi ya Mungu kwa Kila Binadamu
Mungu anamakusudi na kila binadamu anayeishi duniani. Hakuna mtu aliyebora zaidi mbele ya Mungu au asiye wa thamani mbele ya Mungu kama anafwata mpenzi ya Mungu. Melkisedeck Leon Shine Makusudi ya Mungu kwa Kila Binadamu Mungu ana makusudi na kila binadamu anaβ¦
Open printable article βπKumtafuta Mungu ni Jukumu lako Binafsi
Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee. Melkisedeck Leon Shine Kumtafuta Mβ¦
Open printable article βπThamani ya Neno "Nimekusamehe"
Ni jambo jema kusamehe wale waliotukosea. Neno "Nimekusamehe" ni zuri kusikia masikioni kuliko neno "Ninakupenda". Maana kusamehewa ni zaidi ya kupendwa kwani Msamaha ni matokeo ya Upendo. Melkisedeck Leon Shine Neno "Nimekusamehe" Neno βNimekusameheβ ni moja β¦
Open printable article βπWakati unapitia magumu usikate tamaa
Kuna Kipindi katika maisha yako unaweza ukapitia mambo Fulani magumu hadi ukaanza kujiuliza,hivi kwa nini yote haya yananitokea?Why Me God?.Na Mimi nimeshawahi kupitia katika hali hii. Nilichojifunza ni kuwa hakuna changamoto ya kudumu milele na katika kila kiβ¦
Open printable article βπUmakini katika kuwaza
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wako kisha utatenda mema katika maisha yako Kumbuka Mungu humhukumu mtu kwa mawazo yake maana mawazo β¦
Open printable article βπMambo ya kutafakari unapokuwa katika shida kubwa, unapoelekea kukata tamaa
Tafakari Kuhusu Wakati wa Shida Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote. Yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe mazuri kama unavyotarajia. Yote hayo ni sehemu ya maisha. "Nimejifunzβ¦
Open printable article βπMungu ni mwenye upendo, Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi
Mungu ni mwenye upendo Huruma na Rehema hasa kwa Wenye dhambi.Mungu yupo tayari kumsikiliza mtu yeyote mwenye dhambi kama ameutambua, amekiri na Kutubu makosa yake. Mungu akishamsamehe mtu uovu wake anambariki. Hakuna mtu ambaye hatasamehewa na Mungu kama Ametβ¦
Open printable article βπTofauti Wakati Wa Kukomunika Wakati Wa Kupokea Mwili Na Damu ya Yesu Kristo
Wakati wa kukomunika Kila mtu anampokea Yesu kwa namna tofauti kulingana na yeye alivyojiandaa, utayari wake, IMANI, na anachokitaka kutoka kwa Yesu. Mfano kama mtu anapokea tu kwa vile anapokea komunio na Yesu ataingia kwake tuu bila nguvu au kuonyesha neema β¦
Open printable article βπTafakari ya leo kuhusu Uaminifu
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja Upendo haukamiliki bila Uaminifu. Ni kwa kiasi cha Uaminifu wako Mungu atakuhukumu Kama unaweza kuwa mwaminifu kaβ¦
Open printable article βπYesu Yupo Karibu na Wewe Unapoanguka Dhambini: Huruma ya Yesu Kristo kwa Mwenye dhambi
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana hata kuzidi wakati mwingine wowote.Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio Yesu anakua karibu zaidi, lakini tatizo ni kwamba huo ni wakati ambao mtu hawezi kutambua uwepo wa Yesu. Neβ¦
Open printable article βπZawadi ya Kipekee kwa Mtu Ambayo Inadumu Milele
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni Kusali na Kuomwombea Mtu aweze kuingia Mbinguni. Je, ulishawahi kutoa zawadi hii hasa kwa wale unaowapenda? Kila kitu kitabaki hapa duniani na kitapita na kusahauliwa lakini hili halina mwisho Zawadi ya Kipekeβ¦
Open printable article βπSafari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu
Leo tunatafakari kuhusu safari ya kupata fadhila ya Unyenyekevu, Fadhila ya Unyenyekevu ni tunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumilivu, Mwisho wa yote hayo utapata faβ¦
Open printable article βπSiri za Upendo, Huruma, Rehema na Neema za Mungu
Mungu ni Mwingi wa Rehema, Huruma, Upendo na Neema. Kadiri siku zinavyozidi kwenda ndiyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyozidi Kuongezeka. Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema β¦
Open printable article β